tangu niache kupost jf nilikua msomaji tu wa post za watu le namm nimerudi kwajil ya msaada wa mawazo kidogo..
ninapoishi nimezungukwa na walimu wa chuo nimekuja kutafiti nikaona ii kazi ina nafuu sana kuliko kazi za kawaida kama udaktar au nyinginezo... na baadhi yao wamenishawishi kwakunambia ii kazi inapesa sana japo inausumbufu kwa wanafunz wanao sap aukudisko ila qualification zake exactly ni zipi wajuzi wa mambo.. I need to be a leacture
Mkuu kiwango cha elimu tukubali kwa nchi yetu kimeshuka,kuna mzungu mmoja ameniambia majuzi yeye ni mkufunzi ameniambie watanzania wa sasa wanaokwenda huko nje kwake kwa chuo ni seti tupu kabisa sio kama wa zamani,yaani aliponiambia hivyo nikaafiki matunda ya elimu yetu sasa ndio hayaMkuu, samahani, baki tu huko huko ulipo! Nawaonea huruma wanafunzi wako watarajiwa!
Mkuu kiwango cha elimu tukubali kwa nchi yetu kimeshuka,kuna mzungu mmoja ameniambia majuzi yeye ni mkufunzi ameniambie watanzania wa sasa wanaokwenda huko nje kwake kwa chuo ni seti tupu kabisa sio kama wa zamani,yaani aliponiambia hivyo nikaafiki matunda ya elimu yetu sasa ndio haya
Ni kosa la mfumo wetu wa uongozi la uongozi,mimi nimeshajiwekea mtoto wangu nitaangalia sana anaenda shule gani kwa hii bongo yetu,ikibidi nitapeleka Kenya.ni janga la taifa mkuuunavyoona ilo litakua ni kosa la nani.. ukizingatia izo scholarship zenyewe zinatolewa kiundugu.
I need to be a leacture
Miaka hiyo niliona udaktari kama kazi ya heshima n kipato kizuri sana. Nikiwa medical school 2nd year nikaanza kuona mambo yalivyo sio siri ilinibidi nichangamkie "fursa". Nilimaliza mwaka w tano nikajichanganya.
Sema hivi,"I need to be a lecturer"
(Uko level gani ya elimu kiongozi?)
Halafu dizaini hueleweki Mkuu.
Sasa kama umezungukwa na hao waalimu umeshindwaje kuwauliza juu ya hili suala lako?
Mkuu,kama issue ni ualimu wa chuo hata hao madaktari(MDs) pia sio wote wako hospitalini,wengine wanafundisha kwenye vyuo vya afya pia.
(au unadhani MDs hufundishwa na wahasibu)
Qualifications ni wewe kuwa na ufaulu mzuri kuanzia kwenye shahada yako ya kwanza preferably GPA yako iwe 3.7 nakuendelea.
For more info tembelea sites zinazohusu matangazo ya ajira!!!
Ukajichangayaje kiongozi?
Nilitafuta kazi tofauti kidogo. Nadhani hapo umenielewa.
ubaki chuo kipi mkuu? labda CBE? maana huk ndo unaweza kubaki kwa jinsi ya hoja yako vinginevyo utabaki kuongea tu mwishowe uje kuendesha bodaboda kwa frustration.
Miaka hiyo niliona udaktari kama kazi ya heshima n kipato kizuri sana. Nikiwa medical school 2nd year nikaanza kuona mambo yalivyo sio siri ilinibidi nichangamkie "fursa". Nilimaliza mwaka w tano nikajichanganya.
unapaswa uwe na GPA ya kuanzia 3.8 na kuendelea kwa first degree ila ili ujihakikishie nafasi pata first class mkuu...ila lecturers wenyewe wanashauri usiwe lecturer wanasema hailipi(kama unavyohisi inalipa)