Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,261
Tangu niache kupost jf nilikua msomaji tu wa post za watu le na mimi nimerudi kwa ajili ya msaada wa mawazo kidogo.
Ninapoishi nimezungukwa na walimu wa chuo nimekuja kutafiti nikaona hii kazi ina nafuu sana kuliko kazi za kawaida kama udaktari au nyinginezo.
Na baadhi yao wamenishawishi kwa kunambia hii kazi ina pesa sana japo ina usumbufu kwa wanafunzi wanao sap au kudisco ila qualification zake exactly ni zipi wajuzi wa mambo.
I need to be a lecturer
Usisome kwa ajili ya mshahara tu. Soma kitu unachopenda. Soma kitu kinachoweza kukuajiri. Mshahara huwa hautoshi daima. Haijalishi walipwa kiasi gani. Nadhani daktari MD, mwenye degree moja, anayeanza kazi take home yake inazidi laki tisa na nusu. Lecturer unajua ana level gani? Au wazungumzia tutorial assistant? Nijuavyo mfano lecturer MD (atakuwa ana degree mbili at least) analipwa kidogo ukilinganisha na daktari mwenye sifa sawa na huyu lecturer. Salary scales za wizara zinatofautiana.