Nilitamani sana udaktari ila kwa hili lazima nibaki chuo

Nilitamani sana udaktari ila kwa hili lazima nibaki chuo

Miaka hiyo niliona udaktari kama kazi ya heshima n kipato kizuri sana. Nikiwa medical school 2nd year nikaanza kuona mambo yalivyo sio siri ilinibidi nichangamkie "fursa". Nilimaliza mwaka w tano nikajichanganya.

Ukajichanganya wap?
 
Nimegundua kitu hapa..
mtoa mada anadhani kuna chuo kinafundisha watu ili wawe ma-lecturer au kuna course flan flan inayomfanya mtu kuwa lecturer!!aaahahaah....daaah mlugo style

hahahahaaa smtms tunamuonea Mulugo wa watu! Hawa vilaza wamepitiliza
 
Yani ukitaka kufa njaa wewe na vitukuu vyako basi fanya maamuzi ya kuwa dokta.
 
Doh kama ni kweli daktari aliyehenyeka myaka mitano bila kupata lindi nono la usingiz analipwa laki tisa wakati miye nimesoma show off ya akaunti myaka mi tatu tu ya anasa nalipwa em unusu just kwa kuandika peimenti vocha tu. Basi niseme laifu iz not fea.

laifu iz noti fea kabisaaa.......
 
G.P.A isishuke 3.7, acha mademu watakutafta ukipata kazi. Usipoteze muda mwingi kuangalia siries movie. Sari sana!! Utanipa majibu ukimaliza chuo
 
G.P.A isishuke 3.7, acha mademu watakutafta ukipata kazi. Usipoteze muda mwingi kuangalia siries movie. Sari sana!! Utanipa majibu ukimaliza chuo

mpaka hapo nshaukosa, ntajiajili nkimaliza chuo
 
G.P.A isishuke 3.7, acha mademu watakutafta ukipata kazi. Usipoteze muda mwingi kuangalia siries movie. Sari sana!! Utanipa majibu ukimaliza chuo

ubarikiwe
 
Back
Top Bottom