Nilitamani sana udaktari ila kwa hili lazima nibaki chuo

Usisome kwa ajili ya mshahara tu. Soma kitu unachopenda. Soma kitu kinachoweza kukuajiri. Mshahara huwa hautoshi daima. Haijalishi walipwa kiasi gani. Nadhani daktari MD, mwenye degree moja, anayeanza kazi take home yake inazidi laki tisa na nusu. Lecturer unajua ana level gani? Au wazungumzia tutorial assistant? Nijuavyo mfano lecturer MD (atakuwa ana degree mbili at least) analipwa kidogo ukilinganisha na daktari mwenye sifa sawa na huyu lecturer. Salary scales za wizara zinatofautiana.
 
Kazi ya udaktari ni ya njaa tupu, pesa yenyewe ya mawazo.
 
nikweli lakini kwa maisha yasasa mkuu ukifwata upendacho unaweza kufa njaa
 
Kazi zote ni Kazi nzur, suala la income linategemea mipango yako mwenyewe na jinsi unavyoji2ma, sababu kuna madaktari wanaearn zaid ya lectures na Kuna lectures wanaearn zaid ya madaktati. Kuwa lecturer make sure performance yako chuo inakuwa nzur at least GPA ya 3.8. Ushaur wangu ni usichague Kazi kwa kuangalia income only, angalia passion yako, uwezo wako na mazingira yako in relation 2 hiyo Kazi. Pesa itakuja 2 kama una passion na una work hard.
 
mkuu umesomeka bilà zengwe apo
 
nikweli lakini kwa maisha yasasa mkuu ukifwata upendacho unaweza kufa njaa

Ndugu kajaribu kufanya shughuli usiyoipenda ili upate ujira mzuri. Samahani kwa haya maneno, ni sawa na kuwa basha kwa shoga ili upate ujira mkubwa toka kwa shoga ingawa huna traits hizo.
 
Ndugu kajaribu kufanya shughuli usiyoipenda ili upate ujira mzuri. Samahani kwa haya maneno, ni sawa na kuwa basha kwa shoga ili upate ujira mkubwa toka kwa shoga ingawa huna traits hizo.

kwa kibongo elimu yetu haina formula... daktar anaenda kua mbunge injinia anakua mfanyabiashara wapi na wapi
 
Ndugu kajaribu kufanya shughuli usiyoipenda ili upate ujira mzuri. Samahani kwa haya maneno, ni sawa na kuwa basha kwa shoga ili upate ujira mkubwa toka kwa shoga ingawa huna traits hizo.

nadhani hii itakufaa ukiwa basha kwa shoga utapata tu
 
Nimegundua kitu hapa..
mtoa mada anadhani kuna chuo kinafundisha watu ili wawe ma-lecturer au kuna course flan flan inayomfanya mtu kuwa lecturer!!aaahahaah....daaah mlugo style
 
3.8 GPA or above.
 
Nimegundua kitu hapa..
mtoa mada anadhani kuna chuo kinafundisha watu ili wawe ma-lecturer au kuna course flan flan inayomfanya mtu kuwa lecturer!!aaahahaah....daaah mlugo style

we ni specialist wa nini kwanza... sijadhania kitu ka hiyo asee!
 
mkuu kuna typing error pia.. mi sio Malaika ... ila punguza chumvi asee... ayo makosa hayapo

Na kama unataka kuwa mwalimu wa chuo kwa ajili ya kupata pesa..bora ukabaki ulipo.
 
Doh kama ni kweli daktari aliyehenyeka myaka mitano bila kupata lindi nono la usingiz analipwa laki tisa wakati miye nimesoma show off ya akaunti myaka mi tatu tu ya anasa nalipwa em unusu just kwa kuandika peimenti vocha tu. Basi niseme laifu iz not fea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…