Nilitamani sana udaktari ila kwa hili lazima nibaki chuo

Miaka hiyo niliona udaktari kama kazi ya heshima n kipato kizuri sana. Nikiwa medical school 2nd year nikaanza kuona mambo yalivyo sio siri ilinibidi nichangamkie "fursa". Nilimaliza mwaka w tano nikajichanganya.

Ukajichanganya wap?
 
Nimegundua kitu hapa..
mtoa mada anadhani kuna chuo kinafundisha watu ili wawe ma-lecturer au kuna course flan flan inayomfanya mtu kuwa lecturer!!aaahahaah....daaah mlugo style

hahahahaaa smtms tunamuonea Mulugo wa watu! Hawa vilaza wamepitiliza
 
Yani ukitaka kufa njaa wewe na vitukuu vyako basi fanya maamuzi ya kuwa dokta.
 
laifu iz noti fea kabisaaa.......
 
Kiaje?Mawazo mgando haya.Ninyi ndo matokeo mazuri ya project ya BRN.

ivi akili ya mtu inapimwa kwa kuangalia amepata ngapi kwenye mtiani??
 
G.P.A isishuke 3.7, acha mademu watakutafta ukipata kazi. Usipoteze muda mwingi kuangalia siries movie. Sari sana!! Utanipa majibu ukimaliza chuo
 
G.P.A isishuke 3.7, acha mademu watakutafta ukipata kazi. Usipoteze muda mwingi kuangalia siries movie. Sari sana!! Utanipa majibu ukimaliza chuo

mpaka hapo nshaukosa, ntajiajili nkimaliza chuo
 
G.P.A isishuke 3.7, acha mademu watakutafta ukipata kazi. Usipoteze muda mwingi kuangalia siries movie. Sari sana!! Utanipa majibu ukimaliza chuo

ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…