Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Who are you?Yeye aliaidi kusema hivyo na hakusema??
Unampangia azungumze asichojua? Ukijua itakusaidia nini atafufuka kumwondoa Samia?
Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!
Aisee Janabi kama janabi😂😂😂Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.
Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Acha kunilazimisha nijue ukweli mwingine.Ikiwa ukweli uliosemwa kuhusu kifo chake hauaminiki maana yake una ukweli mwingine unaujua., Sasa unataka akwambie lipi?
Msibebeshe watu misalaba yenu
We nimku.... DuMagufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.
Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Jibu halitakupendezaWho are you?
Nimewonya several times hapa JF kuwa stop speculations.... watu speculated a lot......Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!
Basi kama ni hivyo hapaswi kusema atakacho kusema wasilaumianeNilimsikia akisema anacho kiapo kinachomkataza kusema Siri alizozijua akiwa kazini na hapaswi kuzisema hata baada ya kuacha KAZI.
Hivyo Kuna mambo hutayasikia kama ulivyotarajia
Kumbe wanakufa mashetani peke yao? Aah!! Kifo ni kifo tu na wazuri hawafi. Namkumbuka Mzee Mwinyi hii kauli ilitoka akiwa hai na baada ya siku chache akafariki, nikapiga kifua nikiirudia.Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.
Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Kwani wewe umezuiliwa kuliongelea hilo kama walijua uzuri? Au ndio yaleyale ya wakinukishe wengine wewe ubaki kushangilia sio?Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?
Polepole hajagusia kabisa!
Nenda kazikwe naye
Ningekuwa najua ningeweka hadharani. Ila mpaka sasa mimi na watanzania wenzangu tupo gizaniKwani wewe umezuiliwa kuliongelea hilo kama walijua uzuri? Au ndio yaleyale ya wakinukishe wengine wewe ubaki kushangilia sio?
Na unajuaje kama Polepole anajua?Ningekuwa najua ningeweka hadharani. Ila mpaka sasa mimi na watanzania wenzangu tupo gizani
Alikuwa karibu sana na hayati.Na unajuaje kama Polepole anajua?
Ndugu daktari ulipompima nafikili Kuna karatasi za majibu unazo tuwekee picha na sisi tuthibitishe unachokisemaMagufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.
Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani