Nilitarajia Polepole aweke hadharani ukweli juu ya kifo cha hayati Magufuli

Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.
Mambo ya kiserikali anabanwa na Sheria kuyazungumzia. Siyo Lissu yule ambaye nadra kuchagua maneno ya kuzungumza!

Mfano. Mwanzoni mwa mwaka huu Lissu kuzisema vibaya Uganda na Rwanda akiwatuhumu Marais wa nchi hizo mambo ambayo hajatumwa na wananchi wa nchi hizo. Halafu Lissu huyo huyo anataka awe Rais wa JMT!!! Lengo lake liwe nini kuanzisha vita kati yetu dhidi ya Rwanda na Uganda??? Niliposema Lissu si Presidential material mliniajia juu sana. Sasa kama hilo la mwanzoni mwa mwaka la Lissu hamkuliona tatizo nawaacha kwa Sasa nitawakumbusha Baadaye.

Kinachoendelea dhidi ya Lissu kwa Sasa; binafsi, vyombo husika naamini vitatimiza wajibu wake kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi yetu bila kuingiliwa kimaamuzi.
 
Mheshimiwa mwendazake alihutubia hapo sijui alizindua stendi ya Magufuli akaonesha kikaratasi akasema hiki natembea nacho, watu , wasaidizi wangu wanalijua hili ila wote hawajaniambia, kikaratasi kakirudisha mfukoni, he didn't read what was written there.

Katoka kaenda sijui polisi chang`ombe sikumbuki vizuri, after that kapotea.

Watanzania tukamuulizia, wapi, after all ni tangazo la kifo.

Nina dought something wrong.
 
Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.

Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Wewe maandishi yako ni yale yale toka mwaka 2021. Hakika umejipanga kimkakati.

Uko na modus operandi ya aina yake. Unarudia rudia maneno yale yale na kuweka msisitizo wa KIPROPAGANDA lakini UTASHINDWA KWA JINA LA YESU.

Ndo maana shangazi yako mchawi.

Kagame mkubwa wewe. Na mwaka huu nyie VIJITI MAKAGAME tutawapasua mashavu.
 
Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.

Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
mbona una ghadhabu kiasi hiki?
 
Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.

Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?

Polepole hajagusia kabisa!
Km Rais ambaye ni amiri jeshi mkuu anaweza kuuawa wacha auawe, yaani kwa upumbavu tuzungumzie kifo cha aliyetakiwa kulinda uhai wa watanzania? Maana tulimpa nyenzo zote, basi ni uzembe wake na kufa ni haki yake.
 
Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala.

Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe?

Polepole hajagusia kabisa!
Watu km huyu ni wapumbavu mpk chenji inabaki, yaani tujadili nani kwamwua Rais? Hv huyu lofa anajua maana ya uRais? Km Rais anaweza kuuawa nani yuko salama? Hatustahili kujali mambo ya kipuuzi km hayo. Kwa hiyo ulitaka aseme Samia(makamu wa Rais) kamwua Rais? We ni bwege kweli.
 
Eti kiapo, Kwani kwenye kiapo mbona wanaapa kuwa waaminifu kwa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bado wanatuibia.

Kwaheri Fallujah, safarini Homs na Damascus.
 
Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.

Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Mungu fundi sana yule dhalim angekuwa bado anasumbua.
 
Mheshimiwa mwendazake alihutubia hapo sijui alizindua stendi ya Magufuli akaonesha kikaratasi akasema hiki natembea nacho, watu , wasaidizi wangu wanalijua hili ila wote hawajaniambia, kikaratasi kakirudisha mfukoni, he didn't read what was written there.

Katoka kaenda sijui polisi chang`ombe sikumbuki vizuri, after that kapotea.

Watanzania tukamuulizia, wapi, after all ni tangazo la kifo.

Nina dought something wrong.
Kikaratasi na kifo chake vinaweza kuwa na uhusiano gani
 
Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.

Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Una uhakika aliyepo sasa hana hayo magonjwa?
 
Kumbe wanakufa mashetani peke yao? Aah!! Kifo ni kifo tu na wazuri hawafi. Namkumbuka Mzee Mwinyi hii kauli ilitoka akiwa hai na baada ya siku chache akafariki, nikapiga kifua nikiirudia.
Siyo Mwinyi aliyetoa hiyo kauli bali ni Yusuf Makamba. All in all Ali Hassan Mwinyi amekufa aliwa na miaka 99. Ameishi miaka 29 zaidi ya umri wa Kibiblia, ni vyema kumshukuru Mungu kwa hilo.

Huwezi kumfananaisha ni Dikteta Magufuli aliyekufa na miaka 62
 
Magufuli alizungukwa na maradhi sugu kama Kichaa, Diabetes, HIV, Herpes Zoster, na kifaa cha kuongeza mapigo ya moyo (defibrillator) kilikuwa kimechakaa. Hivyo COVID-19 ikapita naye kirahisi.

Ashukuriwe Mungu kwa kumuondoa yule shetani
Vipi M7 ?
 
Ndugu daktari ulipompima nafikili Kuna karatasi za majibu unazo tuwekee picha na sisi tuthibitishe unachokisema
Kwani kwenye kampeni za 2020 ulikuwa huzioni picha za Magufuli akiwa kawekewa air condition kwenye jukwaa la nje?
 
Back
Top Bottom