Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Mara Kagame, Shangazi, propaganda sijui vijiti!! Sijakuelewa hebu nyoosha maneno nikujibu unavyostahiliWewe maandishi yako ni yale yale toka mwaka 2021. Hakika umejipanga kimkakati.
Uko na modus operandi ya aina yake. Unarudia rudia maneno yale yale na kuweka msisitizo wa KIPROPAGANDA lakini UTASHINDWA KWA JINA LA YESU.
Ndo maana shangazi yako mchawi.
Kagame mkubwa wewe. Na mwaka huu nyie VIJITI MAKAGAME tutawapasua mashavu.