Nilitarajia Rayvanny na Diamond wangepokelewa na Mh Sugu kama mwenyeji

Nilitarajia Rayvanny na Diamond wangepokelewa na Mh Sugu kama mwenyeji

Kwanini kila Jambo mnataka kuingiza siasa we unataka sugu ndo awapokee mbeya wakati huyo sugu yupo dar.
 
Ninavofahamu Sugu yuko Dsm akihangaika na kesi za wenzake/viongozi wa CDM. Wakati mwingine ni vyema kujiridhisha na tarifa zilizopo kuliko kujiharakisha kwenye kurusha lawama.

Kuna ndege, umekurupuka
 
Ewe kidosho wa Lumumba huko dar ulikuwa umelala nae, maana hadi muda huu tupo nae hapa hotel desderia.
Me sipo kwenye siasa zenu za CCM na CHADEMA ila kuingiza siasa kwenye mambo ambayo hayana siasa ni ujinga.
 
Mh Mbilinyi mimi naamini yeye ndio alikuwa na sifa za kumpokea kijana.
1. Mbunge.
2. Msanii mwenzao

Kivyovyote wangeongea lugha moja inayofanana, lakini nimeshangaa Dr. Tulia ndio mwenyeji.

Kama unakumbukumbu Ray kafanya sampo ya wimbo wa Sugu unaitwa SUGU.

Inaonyesha wako pamoja sana lakini maajabu sijajua kwanini hajaalikwa.

Au ndio mbio za kuchukua jimbo la Mbeya Mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu 50% ya maandalizi na Logistics zingine amefanya Huyo Tulia, hivyo kumuita Mh. Sugu pale isingekuwa poa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me sipo kwenye siasa zenu za CCM na CHADEMA ila kuingiza siasa kwenye mambo ambayo hayana siasa ni ujinga.
Ujinga ni ww kusema yupo dar mbunge wa mbeya wakati tupo nae hapa mbeya hadi muda ule unaleta comment yako ya kikahaba.
Puguan wahed kidosho mbobezi ww
 
Ilitakiwa Sugu naye awepo,na kama hayupo Mbeya..wangesema Sugu hajafka kwa sabab 1,2,3..lakin hii ya kumpandisha Tulia na Mwakyembe wenyewe haijakaa poa kabsa..above all show ilkua mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hii Tanzania watu wake wana nini vichwani mwao? Kwakweli hapa nimeona ubinafsi wa wana CDM... Nachelea kuelewa sababu za kusema Sugu ndo angekuwa mgeni rasmi... Kwani Tulia hakufaa? Kwa vigezo vya kifala hivo nami naweza kukwambia Tulia ndo mbunge pekee aloonekana akiNYEGEZIka kule Uganda licha ya wimbo kufungiwa... Pia kuna kipindi kwenye tamasha la kina mama km sikosei aliTETEMA licha ya umbaumbau wake!
Kwa maneno mengine naweza sema ni moja kati ya diehard fans wa WCB... Sa kwanini akaribishwe Sugu ambaye hajawah hata kusapoti kazi zao?

Sababu nyingine ya msingi sana ambayo hata watumishi wengi huitumia ni kwamba hutakiwi kwenda kinyume na mwajili wako... Mond na uongozi mzima wa WCB ni watu wenye akili kubwa katika kufikiria nini kitatokea mbeleni.
Kwa mfano wanamweka Sugu kama mgeni rasmi na kumtema Tulia, afu agizo linatoka juu kuwa wanaleta fujo watu wanahitaji kutulia makwao. Je hapo kungekuwa na show? Kwa vile Tulia yupo nina uhakika hata Chalamila (mkuu wa mkoa) alitoa ulinzi wa kutosha pale.
 
Ilitakiwa Sugu naye awepo,na kama hayupo Mbeya..wangesema Sugu hajafka kwa sabab 1,2,3..lakin hii ya kumpandisha Tulia na Mwakyembe wenyewe haijakaa poa kabsa..above all show ilkua mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia apart ya yeye kuwa kiongozi pia ni fan wa diamond na amekuwa akisapoti kazi za mondi huyo sugu lini amesapoti kazi ya mondi mpaka awe ni mgeni rasmi?
 
Ilitakiwa Sugu naye awepo,na kama hayupo Mbeya..wangesema Sugu hajafka kwa sabab 1,2,3..lakin hii ya kumpandisha Tulia na Mwakyembe wenyewe haijakaa poa kabsa..above all show ilkua mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa atakuwepo Vipi Sugu wkt sponsor aliyewaleta ni boss lady tulia mkuu?

Na unajua huyo mama analitaka hilo jimbo 2020,inshort kikichofanyika jana ilikua ni kumwagia sifa za kutosha kwa yule mama kwa wapiga kura wake kwa ajili ya 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Mbilinyi mimi naamini yeye ndio alikuwa na sifa za kumpokea kijana.
1. Mbunge.
2. Msanii mwenzao

Kivyovyote wangeongea lugha moja inayofanana, lakini nimeshangaa Dr. Tulia ndio mwenyeji.

Kama unakumbukumbu Ray kafanya sampo ya wimbo wa Sugu unaitwa SUGU.

Inaonyesha wako pamoja sana lakini maajabu sijajua kwanini hajaalikwa.

Au ndio mbio za kuchukua jimbo la Mbeya Mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu unayo halafu unauliza
Dr Tulia kama ndie aliewaalika basi ni jukumu lake kuwapokea
 
Huyo Betina hawezi kumuangusha Sugu hata waje wajeda
 
Mkubwa ni mkubwa tu mfano raisi akienda kwenye Jimbo la mbunge attention kubwa itakuwa kwa raisi
Sasa lini reyvanny na yeye atakuwa mkubwa km mondi? Au mond anataka awe mkubwa yeye tu? Kwanini reyvany asipewe nafasi kubwa ili tumpate mond mwingine,
 
Sasa lini reyvanny na yeye atakuwa mkubwa km mondi? Au mond anataka awe mkubwa yeye tu? Kwanini reyvany asipewe nafasi kubwa ili tumpate mond mwingine,
Rayvanny ameshakuwa mkubwa pale mond ameenda kutoa sapoti tu kwa rayvanny Kama alivyofanya kwenye show ya harmo harmo night
 
Back
Top Bottom