Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka.
Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa Ubelgiji anakula kuku kwa mrija sio tija kabisa. Lissu anatakiwa aje Tanzania awe bega kwa bega na watanzania wenzake kwa kila jambo.