TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Kwani muuaji si alishakufa, au kuna mwingine?Unataka aje umfanye Nini?Waliotaka kumuua mlishapatikana?
Let him live his life,amepitia mengi makubwa ambayo hakuna mtu angependa kuyapitia!
Kama alikuja kwenye uchaguzi na akaokolewa na mabalozi,unadhani hapaswi kuwa na wasiwasi na usalama wake?
Kama Maushungi kaweza kumbambika kesi Mbowe,unadhani hashindwi kufanya hivyo Kwa Lissu?
Chochote afanyacho Lissu,Sina deni naye!