Hatari ipo pale pale hawezi kukubali kuuza uhai wake.Analipwq mabilioni Kila mwezi, akirudi wazungu watajua hayuko hatarini
Umetisha mkuuUnataka aje umfanye Nini?Waliotaka kumuua mlishapatikana?
Let him live his life,amepitia mengi makubwa ambayo hakuna mtu angependa kuyapitia!
Kama alikuja kwenye uchaguzi na akaokolewa na mabalozi,unadhani hapaswi kuwa na wasiwasi na usalama wake?
Kama Maushungi kaweza kumbambika kesi Mbowe,unadhani hashindwi kufanya hivyo Kwa Lissu?
Chochote afanyacho Lissu,Sina deni naye!
Naona wasiyo julikana mmeanza kujitokeza hadaharani sasa.Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa Ubelgiji anakula kuku kwa mrija sio tija kabisa. Lissu anatakiwa aje Tanzania awe bega kwa bega na watanzania wenzake kwa kila jambo.
Acha pumba zako, alikuka wakati wa Kampeni mbona hakufanyiwa mbaya?Unataka aje umfanye Nini?Waliotaka kumuua mlishapatikana?
Let him live his life,amepitia mengi makubwa ambayo hakuna mtu angependa kuyapitia!
Kama alikuja kwenye uchaguzi na akaokolewa na mabalozi,unadhani hapaswi kuwa na wasiwasi na usalama wake?
Kama Maushungi kaweza kumbambika kesi Mbowe,unadhani hashindwi kufanya hivyo Kwa Lissu?
Chochote afanyacho Lissu,Sina deni naye!
Wewe hukuona mlivyokuwa mnamvizia mpaka akakimbilia balozi za nje?Ikatengenezwa combination Moja matata ya mabalozi wakamsindikiza mpaka airport huku ninyi mkimfuatilia Kwa nyuma kama fisi anavyosubiri mkono uanguke apate kitoweo!Acha pumba zako, alikuka wakati wa Kampeni mbona hakufanyiwa mbaya?
Amewaachia wabambikiaji mhangaike na kesi lenu michongo kwani tayari Mai ya shingo anajua bado kidogo TU muanze kibwia vikombe.Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa Ubelgiji anakula kuku kwa mrija sio tija kabisa. Lissu anatakiwa aje Tanzania awe bega kwa bega na watanzania wenzake kwa kila jambo.
Mawakili waliopo mmewashindwa unataka Lisu aje kumtoa Mbowe kinguvu au unataka aje kufanya niniUnataka aje umfanye Nini?Waliotaka kumuua mlishapatikana?
Let him live his life,amepitia mengi makubwa ambayo hakuna mtu angependa kuyapitia!
Kama alikuja kwenye uchaguzi na akaokolewa na mabalozi,unadhani hapaswi kuwa na wasiwasi na usalama wake?
Kama Maushungi kaweza kumbambika kesi Mbowe,unadhani hashindwi kufanya hivyo Kwa Lissu?
Chochote afanyacho Lissu,Sina deni naye!
Anataka akamilishe jaribio lake lililoshindwa🏃Mawakili waliopo mmewashindwa unataka Lisu aje kumtoa Mbowe kinguvu au unataka aje kufanya nini
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hasa palipo na kenge🤔.Mwenye akili hua habebi mayai yote ndani ya kapu moja.
.......you et-al wanted him dead.Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa Ubelgiji anakula kuku kwa mrija sio tija kabisa. Lissu anatakiwa aje Tanzania awe bega kwa bega na watanzania wenzake kwa kila jambo.
Nisawa na fisi kidai anamhurumia mbuzi🤔.