Nilitegemea Lissu aje Tanzania kumsaidia Mbowe na kesi ya ugaidi kuliko kutuma salamu za mwaka mpya akiwa Ubelgiji

Kwani muuaji si alishakufa, au kuna mwingine?
 
Aache kula maisha mazuri ulaya aje kuteseka kwenye linchi masikini kama hili
 
H
Huyo alikuwa anasindikizwa na shoga zake tu.
Mwanaume huondoka mwenyewe.
 
Mbaya gani zaidi ya kupora mchakato wote wa uchaguzi ?!
Mwenyezi Mungu fundi na mkamia maji hayanywi
Ahaaaa, unakumbuka Lissu alisemaje baada ya kupiga kura akiwa Ikungi? Acha kusingizia mambo amabayo hayapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…