PreGE2025 Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa kwa taifa lakini kumbe mpaka kenge atoke damu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?

Kwanini Magufuli hatoi somo?

Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa?

Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli?

Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?

Ila aliishia wapi ? Sasa wewe mwizi, fisadi na muuaji wakati una power unaweza kweli kutoboa,?

Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa Sana kwa Taifa kumbe bado mpaka kenge atoke damu masikioni!!

Tuendelee kuwepo ila hutoboi!!!
 
Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?

Kwanini Magufuli hatoi somo?

Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa?

Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli?

Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?

Ila aliishia wapi ? Sasa wewe mwizi, fisadi na muuaji wakati una power unaweza kweli kutoboa,?

Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa Sana kwa Taifa kumbe bado mpaka kenge atoke masikioni!!

Tuendelee kuwepo ila hutoboi!!!
Mkuu unamtukana Magu? Aliacha somo la uzalendo.
 
Technically somo bado linaendelea. Mwaka huu mtihani mwingine unakuja!
 
Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?

Kwanini Magufuli hatoi somo?

Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?

Ila aliishia wapi ?

Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa Sana kwa Taifa kumbe bado
Kitu muhimu ni kusaidia kuwaelimisha kuhusu somo la JPM.
Tuendelee kuwapiga darasa na mfano ni huu Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili
P
 
Raisi yeyote aliyepokea nchi na kuendelea kukumbatia katiba na sheria zilezile bila mabadiliko hana nia njema sana na mafukara. Tatizo kuwa brainwash Watanzania ni rahisi sana
 
Back
Top Bottom