technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mkuu unamtukana Magu? Aliacha somo la uzalendo.Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?
Kwanini Magufuli hatoi somo?
Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa?
Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli?
Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?
Ila aliishia wapi ? Sasa wewe mwizi, fisadi na muuaji wakati una power unaweza kweli kutoboa,?
Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa Sana kwa Taifa kumbe bado mpaka kenge atoke masikioni!!
Tuendelee kuwepo ila hutoboi!!!
Technically somo bado linaendelea. Mwaka huu mtihani mwingine unakuja!Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?
Kwanini Magufuli hatoi somo?
Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa?
Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli?
Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?
Ila aliishia wapi ? Sasa wewe mwizi, fisadi na muuaji wakati una power unaweza kweli kutoboa,?
Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa Sana kwa Taifa kumbe bado mpaka kenge atoke masikioni!!
Tuendelee kuwepo ila hutoboi!!!
Kitu muhimu ni kusaidia kuwaelimisha kuhusu somo la JPM.Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?
Kwanini Magufuli hatoi somo?
Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?
Ila aliishia wapi ?
Nilitegemea Magufuli ataacha somo kubwa Sana kwa Taifa kumbe bado
Well said ila ndugu yangu pascal nisamehe Kuna post hapa juzi ulichangia nikaruka na wewe kumbe sikuelewa,yote ni hasira nilizonazo na Hawa viumbe niwie radhi kaka.Kitu muhimu ni kusaidia kuwaelimisha kuhusu somo la JPM.
Tuendelee kuwapiga darasa na mfano ni huu Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa Mungu, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili
P