Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Hasa kwenye makato aiseh pana shida pale.Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Lipa mkopo wako kijana. Acha janja janja..Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Subiri mkutano ujao.Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
😂😂😂😂Ataongea yote kwa siku moja jamanii, hata mwezi bado tangu aapishwe..hebu tumpe muda kidogo na tuwe wavumilivu.
Naona kila mtu anamtaka mama aongelee jambo lake,.hee ataumwa kichwa,lol😂😂😂😂
Yani sijui hawa watu wanakuwa wapi watu wakiwa wanaongea?Amesema ataongea mengi siku akikutana sekta kwa sekta. Hukusikia?
Nina imani na maza. Sijui kwanini ila imani ninayo. Hili la bodi hawezi liacha maana mh zile increment za mwaka sizielewi. Mfano mi sahivi inaonekana imebaki 1.3M ila najua kuna mil 1 haitokei kwenye slip. Ila tuwe na subira.Naona kila mtu anamtaka mama aongelee jambo lake,.hee ataumwa kichwa,lol
Ni mwendo wa "naenda kukusemea kwa mama"Naona kila mtu anamtaka mama aongelee jambo lake,.hee ataumwa kichwa,lol
Watamfuata wenyewe tu au anaweka kiporo kwaajili ya mei mosi haiko mbali mkuuKwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Broo MPE muda huyu Mama ni very understanding atapita tuu kote hukoKwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Subra yavuta kheri,.tumpe muda mazaNina imani na maza. Sijui kwanini ila imani ninayo. Hili la bodi hawezi liacha maana mh zile increment za mwaka sizielewi. Mfano mi sahivi inaonekana imebaki 1.3M ila najua kuna mil 1 haitokei kwenye slip. Ila tuwe na subira.
KabisaaNi mwendo wa "naenda kukusemea kwa mama"
Yashanganue sasa nini kero yako na hiyo bodi akipita humu alifanyie kazi!Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Kuna mengi sana ya kuzungumza, tumpe muda labda atazungumza wakati mwingineKwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia