Nilitegemea Rais angeongea kitu kuhusu bodi ya Mikopo HESLB

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani, hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku 'sosho midia'
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Hasa kwenye makato aiseh pana shida pale.
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Lipa mkopo wako kijana. Acha janja janja..
 
Huwezi jenga nyumba kwa siku moja, binafsi naamini mama etu Samia S.H kipenzi na nuru yetu kwenye kiza kilichokuwa kimetukumba atapita kwooote huko cha msingi tuvute subra huku tukifanya atuhusuyo kuyatenda kwa nchi na taifa letu.
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Subiri mkutano ujao.

Mambo ni mengi muda mchache!
 
Naona kila mtu anamtaka mama aongelee jambo lake,.hee ataumwa kichwa,lol
Nina imani na maza. Sijui kwanini ila imani ninayo. Hili la bodi hawezi liacha maana mh zile increment za mwaka sizielewi. Mfano mi sahivi inaonekana imebaki 1.3M ila najua kuna mil 1 haitokei kwenye slip. Ila tuwe na subira.
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Watamfuata wenyewe tu au anaweka kiporo kwaajili ya mei mosi haiko mbali mkuu
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Broo MPE muda huyu Mama ni very understanding atapita tuu kote huko
 
Nina imani na maza. Sijui kwanini ila imani ninayo. Hili la bodi hawezi liacha maana mh zile increment za mwaka sizielewi. Mfano mi sahivi inaonekana imebaki 1.3M ila najua kuna mil 1 haitokei kwenye slip. Ila tuwe na subira.
Subra yavuta kheri,.tumpe muda maza
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Yashanganue sasa nini kero yako na hiyo bodi akipita humu alifanyie kazi!
 
Mama ni msikivu sana na yupo kutatua changamoto nyingi za nchi hii.
Ni matumaini yangu atafanya yafuatayo
Kupunguza makato toka 15% hadi 8%
Kuondoa value retantion fee na admistarion fee ambazo zinaumiza wengi
 
Kwa bahati mbaya sana Mama Samia hajagusia kitu kuhusu hawa mumiani,hope next time atanena lolote, sababu amekiri kuwa ni mdau wa mitandao na malalamiko yetu kwa bodi yamejaa sana huku sosho midia
Kuna mengi sana ya kuzungumza, tumpe muda labda atazungumza wakati mwingine
Mimi natamani azungumze kuhusu fao la kujitoa, ni moja ya ukandamizaji mkubwa sana uliofabyika awamu iliyopita
 
Back
Top Bottom