J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 28, 2025 Thread starter #41 Pulchra Animo said: Tusaidie kidogo ambao hatujaona. Sasa umeona journalists wa wapi wanaoongoza mijadala kwenye huo mkutano? Click to expand... Wa Ivory coast πΌπ
Pulchra Animo said: Tusaidie kidogo ambao hatujaona. Sasa umeona journalists wa wapi wanaoongoza mijadala kwenye huo mkutano? Click to expand... Wa Ivory coast πΌπ
T Thomas Brown JF-Expert Member Joined Jan 25, 2025 Posts 344 Reaction score 856 Jan 28, 2025 #42 Jidu La Mabambasi said: Kumhoji Rais na kuwahost Marais vitu viwili vyenye anga tofauti. Hili ni suala la diplomatic foreign relations, ambalo Kikeke hana utaalam nalo. Click to expand... Al Jazeera kuna mmoja anaitwa JAMES BAYS..
Jidu La Mabambasi said: Kumhoji Rais na kuwahost Marais vitu viwili vyenye anga tofauti. Hili ni suala la diplomatic foreign relations, ambalo Kikeke hana utaalam nalo. Click to expand... Al Jazeera kuna mmoja anaitwa JAMES BAYS..
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jan 28, 2025 #43 johnthebaptist said: Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu? Nimeshangaa Mno πΌπΌπΌ Click to expand... Ukishamaliza kushangaa toka hapo kihesa nenda kitwilu kapige ulansi
johnthebaptist said: Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu? Nimeshangaa Mno πΌπΌπΌ Click to expand... Ukishamaliza kushangaa toka hapo kihesa nenda kitwilu kapige ulansi
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Jan 28, 2025 #44 johnthebaptist said: Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu? Nimeshangaa Mno πΌπΌπΌ Click to expand... Maulid Kitenge? Seriously?
johnthebaptist said: Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu? Nimeshangaa Mno πΌπΌπΌ Click to expand... Maulid Kitenge? Seriously?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jan 28, 2025 #45 Lord denning said: Mwanzo nilikusifia kuwa mwaka mpya umeanza ukiwa na akili nzuri ila naona unarudi kwenye ujinga wako kwa kiwango cha SGR. Hao wapuuzi hawana akili na level za kuendesha mijadala yenye akili kwenye mikutano ya namna hii. Click to expand... Kidogo Sami Awami
Lord denning said: Mwanzo nilikusifia kuwa mwaka mpya umeanza ukiwa na akili nzuri ila naona unarudi kwenye ujinga wako kwa kiwango cha SGR. Hao wapuuzi hawana akili na level za kuendesha mijadala yenye akili kwenye mikutano ya namna hii. Click to expand... Kidogo Sami Awami
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Jan 28, 2025 #46 nguvu said: Kidogo Sami Awami Click to expand... Huyu sawa