Nilitembea shule moja ya sekondari. Walimu wengine wanajiona wa maana kuliko wenzao.

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
725
Reaction score
1,380
Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba.

Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa watu.
Wanamuuliza maswali, ukiona wapi somo la hesabu likawekwa mwisho, akaja mwingine wa English akidai, akidai English unapaswa kuwekwa mapema.

Palepale kulikuwa na ratiba ya mitihani ya ndani wakahoji sababu ya hesabu kuwekwa na somo la biology wakidai yote ni magumu kwa mtoto.

Walimu mnakazi sana. Ila acheni ubaguzi masomo, sayansi aliyekuambia ukomae nayo kimaa nayo acheni visingizio vya muda.

Mtoto mahiri ni yule anayewwza kufaulu kwenye mazingira yasiyolaainishwa...ni sawa na cheating.
 
No Reforms No Election
 
October 2025
No Reforms No Election
 
Ni tatizo la Waafrika kufuatilia maisha ya watu kuliko kufocus kwenye mambo yao ya msingi.
 
Ni kweli.

No reform no election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…