Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya wewe 🐼View attachment 3020642
na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
Mimi na wewe tufanye....usiseme fanya wewe! hilo si uhaini, ni mawazo mbadala ya kuzuia rasilimali zetu zisigawiwe kwa waarabu kwa njia za amani. Jioga wewe, chawa uchwara 😀 😀 😀 😀 😀 aFanya wewe 🐼
chadema wana platform ya kusemea. mimi platform yangu ni hiiFanya wewe 🐼
Siyo kila Kitu unasakizia Chadema 😂😂
The enabling provision is a NATURAL ENABLING PROVISION, called PEOPLES POWER! 😀 😀 😀 😀 😀 ,What is the enabling provision of law for the issuance of that purported Public Notice, alisikika mwanasheria mmoja uchawara akiuliza
😂😂😂Mimi na wewe tufanye....usiseme fanya wewe! hilo si uhaini, ni mawazo mbadala ya kuzuia rasilimali zetu zisigawiwe kwa waarabu kwa njia za amani. Jioga wewe, chawa uchwara 😀 😀 😀 😀 😀 a
Mvua imesimama muda huu Bwashee 😃chadema wana platform ya kusemea. mimi platform yangu ni hii
vipi mvua huko uliko?
huku kama kawa inayesha "kishenzi" , inshallah ngoja tuone kama mahindi yatapona.Mvua imesimama muda huu Bwashee 😃