Fanya wewe πΌView attachment 3020642
na kwetu hili linatufaa kuimbia dunia, kesho tukiwafukuza wasione tunavunja sheria za mikataba ya kimataifa!
Mimi na wewe tufanye....usiseme fanya wewe! hilo si uhaini, ni mawazo mbadala ya kuzuia rasilimali zetu zisigawiwe kwa waarabu kwa njia za amani. Jioga wewe, chawa uchwara π π π π π aFanya wewe πΌ
chadema wana platform ya kusemea. mimi platform yangu ni hiiFanya wewe πΌ
Siyo kila Kitu unasakizia Chadema ππ
The enabling provision is a NATURAL ENABLING PROVISION, called PEOPLES POWER! π π π π π ,What is the enabling provision of law for the issuance of that purported Public Notice, alisikika mwanasheria mmoja uchawara akiuliza
πππMimi na wewe tufanye....usiseme fanya wewe! hilo si uhaini, ni mawazo mbadala ya kuzuia rasilimali zetu zisigawiwe kwa waarabu kwa njia za amani. Jioga wewe, chawa uchwara π π π π π a
Mvua imesimama muda huu Bwashee πchadema wana platform ya kusemea. mimi platform yangu ni hii
vipi mvua huko uliko?
huku kama kawa inayesha "kishenzi" , inshallah ngoja tuone kama mahindi yatapona.Mvua imesimama muda huu Bwashee π