Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
NILITOA UNABII
NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿
NAPO TOA UNABII NATOA TAARIFA MAPEMA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿
Apa ndo umeharibu😂😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️Kwa niaba ya akina Tomaso wenzangu
Uwez kua nabii kama sio mganga Leo nimekupa code iyoWe ni nabii au mganga
💥💥Sawa prophet kinyamkera
Sawa prophet kinyamkera
Mikeka mbona natoaga mkuuUwe unatutabiria na mikeka tupige mpunga
tuwekee ya leoMikeka mbona natoaga mkuu
ushahidi upo wapi?Mikeka mbona natoaga mkuu
Wewe unataka mikeka au ushaidi?ushahidi upo wapi?
nigetaka mikeka nigeenda kununua hata ya mbaoWewe unataka mikeka au ushaidi?
Mana umekaza shingo kama unanilipa vile