Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Baada ya kutumia bangi kwa kipindi cha miaka 29, mwanaume mmoja ametoa ushuhuda mbele ya Mtume Boniface Mwamposa katika Mkutano wake mkoani Morogoro akieleza jinsi alivyokuwa ametumbukia kwenye uraibu huo kwa muda mrefu.
Akitoa ushuda huo amesema alikuwa akitumia bangi yenye thamani ya Shilingi 7,000 kila siku, sawa na takribani Shilingi milioni 74 katika kipindi chote cha miaka 29, kabla ya kuamua kuachana na matumizi hayo.