Akotia
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 528
- 1,241
Habari zangu ni nzuri na zilizojaa furaha baada ya kufanikiwa kuacha pombe. Kama mtumiaji mzuri niliyokubuhu wa pombe takriban miaka mitano nilikuwa na pambana sana na nafsi yangu kuacha hii kitu, nikijitahidi sana naweza kukaa wiki ila nilikuwa nakunywa kila siku.
Kwa kuhangaika kwangu mitandaoni nikakutana na makala mbali mbali kuhusu psyhedelics na jinsi inavosaidia kuacha pombe mara moja.
Does psilocybin change your brain? How the ingredient in magic mushrooms may ease addiction
www.nytimes.com
Hizo ni baadhi ya habari za kisayansi kuhusu mushrooms psylobin(aina ya pschedelics) na uwezo wake wa kuponya uraibu wa pombe
Anyway nilifanikiwa kupata hizo shrooms na nikatumia gram moja, hakika ni maamuzi bora niliyofanya mwaka huu.
Nilikuwa jioni na kuanzia siku hiyo sikusikia tena alosto ya pombe mpaka leo hii mwezi wa pili huu, hakika siamini naona kama miujiza.

Psilocybin Therapy Sharply Reduces Excessive Drinking, Small Study Shows (Published 2022)
Researchers said the results offered promise to the millions of Americans with alcohol use disorder.