Nilivyoelewa hotuba ya Rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi

🤣Kwamba police hawafanyi ulinzi
Wanafanya usalama tu
Sijui anawachukuliaje police
Kazi ya polisi kikatiba ni kulinda raia na mali zao
Sasa hiyo sio ndio usalama. Au hujui usalama ni nini?
 
Ni Hivi Tanzania iwe na rais wake na Tanganyika tuwe na rais wetu.

Kama mtakoswa mtu wa kuwa rais wa Tanganyika mi nipo Tyr kuongoza muda wowote tu
 
Sioni sababu ya IGP, DGIS,Waziri kuwajibishwa.

Waliopaswa kutokuwepo kazini ni Mafwere na wenzake.

Kwa alochosema leo naona watu wakipewa kesi za hayo mauaji
Mafwele katumwa na nani?
 
Huyo mama sasa kanogewa na hayo madaraka!

Kwa hiyo anajifanya chura kiziwi, asiyetaka kusikiliza chochote kinacholalanikiwa na Umma wa watanzania na jumuia ya kimataifa!😭
Dah bad tunanjia ndefu yakufika pale wenzetu walipo
 
Huu utekaji na mauji ni maagizo ya Ikulu, hakuna namna angeweza kuongea kinyume na hivyo. Hizo 4r aliingia na Mbowe, lakini wengi tulijua ni ghiliba ili atawale bila kusumbuliwa. Hizi hasira anazojifanya kuonyesha ni sawa na tajiri aliyafanya makosa, kisha anakuwa mkali ili wafanyakazi wasihoji ukweli.
 
Unataka awataje mara ngapi?
Avibainishe. Habari inazungumzia vyombo vya Ulinzi na usalama. Aliyeandika hivyo hakujua kwamba ukisema vyombo vya Ulinzi na usalama maana yake amelitaja na Jeshi(Ulinzi) kitu ambacho hata yeye hawezi kusema ndivyo alivyomaanisha. Kwahiyo hoja ilitakiwa kuwa vyombo vya usalama kwani ndio vinavyotuhumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…