Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

Daah Story nyingine bana....ukaacha kusimamia vituo vya mafuta na Hardware ya kaka yako ukaja kuajiriwa na Mhindi..... 😀 😀 😀
kabla hujaongea soma full story uelewa muktadha mzima wa hii habari,jinsi nilivyorudi nchini,jinsi kaka yangu alivyonupokea na akaniuliza mipango yangu na nikamjibu kuwa nitakuwepo nchini kwa miezi 9 ndipo aliponiambia kuwa dada yangu anatamani kuniona ndipo nikaenda mwanza,sikuacha kumtumikia kaka kwani nilikuwa nchini kwa muda tu
 
SEHEMU YA PILI:KUKURU KAKARA ZA MWANZA

Nilifika Mwanza mida ya saa 8 hivi mchana na nilimkuta dada yangu kaja kunipokea.Ilikuwa furaha kubwa sana na nilimkuta akiwa mja mzito,basi akaniambia tupitie tilapia hotel shemeji yako yuko hapo na kikao na rafiki zake.Dah nikafurahi sana.Tukafika tilapia,tukakaa baa ya juu na msosi ukaagizwa na vinywaji.Baada ya dakika 20 shemeji akaja,akanisalimia,tukafurahiana sana wakabusiana na mkewe,mie nikabaki kimya.Tukala na tukanywa sana na baada ya saa 2 hivi tukaondoka kwenda isamilo nyumbani.

Basi nikapewa room yangu ambayo ni ki detachment cha nyumba ya one bedroom,self contained,ina sitting room,ina kitchen yaani nipo kwenye ufalme wangu kabisa.Nilifikia kuoga na kulala hadi saa 2 usiku nikaamka,nikaenda main house nikamkuta dada na mme wake wakiangalia tv.Tukasalimiana,tukacheka sana,basi mida ya saa 3 usiku tukala vey light meal na nikaenda kulala.

Kesho yake nimeamka saa 3 asb nikamkuta dada ananiandalia chai,nikanywa vizuri tu.Dada akawa anajiandaa kwenda dukani kwake,huku namuona mimba ikimuendesha sawasawa,akaniambia nijiandae leo niwe dereva wake,nikamjibu sawa.Jamani mimba inamfanya mwanamke anawiri mno,dada alikuwa kapendeza mno na huo mtumbo,na shemeji alikuwa anauchezea huo mtumbo kila siku mie natazama,mfyuuuuu nasema ngoja muda wangu ufike.

Paaaa,hao mpaka shop kwa dada maeneo ya nyerere road,duka la nguo na vifaa vya urembo wa kina mama.
Dada akaniambia naweza kukaa kidogo na niwe huru kwenda kutembea na gari akanipa niwe natumia na nikapewa na pesa juu.

Mida ya saa 9 mchana nikaenda dukani kumchukua dada nimrejeshe home,by the way dada yangu aliolewa na mholanzi mmoja,ambae kwa sasa wanezeeka wakiishi ujerumani.

Wee basi hiyo wiki ya kwanza nilikula mademu 2 moto kweli kweli,mmoja alikuwa best ya dadangu,yena alikuwa ana kamimba kachanga,sijui ka nani maana mie sikumuuliza nilikuwa napakua tu mzigo.

Demu mwingine alikuwa mwalimu lake sekondari,nilimpata kimkandamkanda tu,naye nikala.

Baada ya wiki 2 dada yangu aliniita sebuleni,akanidodosa maswali mengi na alikuwa anajua kuwa mie ni mtu wa adivencha sana na alikuwa anajua sana kuwa nakula mademu sana.

Akaniuliza lini nategemea kurudi nje kwa masomo digirii ya pili,nikamjibu baada ya miezi 9 hivi maana natamani kupumzika,akaniambia anitafutie kibarua cha muda,nikamjibu sawa tu.Aisee kesho yake akanipeleka kwa muhindi mmoja wana duka mtaa wa uhuru,wanauza vifaa vya majumbani,na wote,yaani yeye na mkewe wanakuwa dukani pamoja.
Hao wahindi wakanipokea kwa furaha mno na wakanipa chai ya maziwa nikanywa,basi dada akanitambulisha kwao na wakaniuliza kama niliwahi kufanya kazi,nikawapa experience yangu ya nkansi na kirando so wakanipenda na kuniomba nianze kazi siku hiyohiyo
Part 1 kidogo ilikuwa inaleta tija, ila kuanzia part 2 ni bongo muvi lililokosa dira na linatungwa kadri linavyokwenda.
 
...................inaendelea hapa.
Basi kesho yake asubuhi tuelienda kazini na nilifanya kazi nyingi dukani,nikatoka kwenda tra,posta,benki na pia nikapita dukani kwa dada nikamfanyia kazi zake,then huyoooo kazini kwangu.Mida ya kufunga duka saa 12 ikafika tukafunga duka,nikamwambia huyo demu wa kihindi kuwa napitia tilapia kidogo then ntarejea mapema tu,akataka kushtuka kidogo,alaniuliza vipi tulivyoongea jana,nikamjibu ntarudi home saa 1 usiku na nitampa jibu.Akatulia,nikampeleka home na nikapaki gari,nikaenda tilapia na kuagiza wine na nilikuwa nimemuita mdada mmoja anafanya tra nilikuwa namtamani sana,kila siku namuomba ananijibu subiri,basi siku hiyo akasema atakuja tilapia.Huyo mdada ni mnyiramba fulani hivi,kajaza mahipsi balaa,ana bunyanga la wastani compact hivi,maji ya kunde na midomo ya kunyonya balaa,kila nikumuona uume unadisa vibaya na kuna siku hadi aliniona uume ulivyovba akacheka sana.

Badi nikiwa tilapia huyo mdada wa tra akaja,tukanywa wine,ikamkolea akaniambia leo nakupa uchi,dah nikasema simwachi,japo nilikuwa najua kuwa usiku naenda kumla mama wa kihindi.Sasa nikasema huyu ngoja niende nae nyumbani kwa sista,nimleeee we then nirudi kwa muhindi wangu,demu akasema no akasema niende kwake,nikakubali mida ya saa 3 usiku hao kwake,huku muhindi anapiga simu balaa,dah ikabidi nimpigie simu sista nimwambie amueleze huyo muhindi kuwa ntachelewa kwamba kanipa kazi,sista akaguna but akasema hivyo na akawa kaniokoa.

Basi nikamla yuke dada wa tra sana,yaani acha tu,kwakuwa hii sio stori yake tuachie hapa,nikaoga nikaenda kwa muhindi wangu nikiwa so composed.
Nikawa mcheshi sana kwake,tukala kuku imepikwa vizuri akanifungulia wine nikanywa glasi 2 nikamwita aje akae kwenye kochi nililokalia mie,akaja,nikamshika shika nywele,akawa analialia ohh ohh,polepole nikaanza kumpapasa manyonyo,nikamvuta karibu yangu nikambusu,mama wee demu alilainika,nikamla denda,nikanywa wine nikampa mdomoni,huku mtalimbo ukasimama vibaya mno,demu acha aushike shike huku anaongea we iko kuba sana eeh,mie nikamwambia hapana iko dogo tu.Ghafla nikambeba mpaka chumbani kwangu nikamvua nguo moja moja,nami nika vua na mtalimbo ukawa umesimama balaa,nikamvuta,nikamwambia apige magoti akapiga,nikamuwelea mtalimbo aunyonye,akaupokea,nikawa namchapa chapa nao kwenye mashavu,ananyonya huku analia kwa raha,kumbukeni hajawahi kutiwa akafurahi almost for 10 yrs.Nikamnyanyua,nikamla denda then nikamlaza kitandani,nikazama chumvuni na mdomoni nilikuwa na chokileti ya maziwa,we acha nilimnyonya papuchi,akawa anaachia nectar ambayo ikawa inachanga nyika na chokileti.Basi ghafla hajakaa sawa,nikampachika mtalimbo,nilimkanyaga sana,yeye ni kilio tu,nami namuitikia na kumgeuza staili na stali,nikamwagia mara 3,sasa wakati naslow down ndio ananiuliza we zima?hapana gonjwa wewe? dah nikamjibu ni mzima...................itaendelea
Na wewe uliwahi muuliza kama na yeye iko zima?
 
kabla hujaongea soma full story uelewa muktadha mzima wa hii habari,jinsi nilivyorudi nchini,jinsi kaka yangu alivyonupokea na akaniuliza mipango yangu na nikamjibu kuwa nitakuwepo nchini kwa miezi 9 ndipo aliponiambia kuwa dada yangu anatamani kuniona ndipo nikaenda mwanza,sikuacha kumtumikia kaka kwani nilikuwa nchini kwa muda tu
Tililika sisi tuburudike
 
Back
Top Bottom