Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

Daah Story nyingine bana....ukaacha kusimamia vituo vya mafuta na Hardware ya kaka yako ukaja kuajiriwa na Mhindi..... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
kabla hujaongea soma full story uelewa muktadha mzima wa hii habari,jinsi nilivyorudi nchini,jinsi kaka yangu alivyonupokea na akaniuliza mipango yangu na nikamjibu kuwa nitakuwepo nchini kwa miezi 9 ndipo aliponiambia kuwa dada yangu anatamani kuniona ndipo nikaenda mwanza,sikuacha kumtumikia kaka kwani nilikuwa nchini kwa muda tu
 
Part 1 kidogo ilikuwa inaleta tija, ila kuanzia part 2 ni bongo muvi lililokosa dira na linatungwa kadri linavyokwenda.
 
Na wewe uliwahi muuliza kama na yeye iko zima?
 
Tililika sisi tuburudike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…