Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

leta story zenye kuvaa uhalisia, story ya kuacha kufanya kazi na ndugu yako mwenye vituo 7 vya mafuta na Hardware ukaamua kwenda kufanya kazi kwa Mhindi inafanya story ikose ladha kwa mtu mwenye uelewa mzuri, Wahindi tunawajua...ulipaji wao wa mishahara tunaujua, unyanyasaji wao tunaujua....uliza kijana yeyote anayefanya kazi kwa Mhindi....atakuambia....utaajiriwa kama dereva lkn kazi za kudeki....kufua...kupika...kupiga pasi, kwenda kubeba kapu la Mama wa Kihindi sokoni....kupeleka watoto kwenda kucheza (sport centre)
sasa ndugu soma stori vizuri,ni kwa vipi nilirudi nchini,nilikuja kufanya nini,ni vipi kaka aliniambia dada yangu ananita mwanza,nikaenda mwanza na ikawaje nikapata kazi kwa muhindi,mie sikuomba kazi na kazi hiyo iliunganishwa na dada yangu,na kazi yenyewe ilikuwa ni muda tu,nilirudi tz kwa miezi 9 tu na ukisoma stori utaona maongezi na kaka yangu kuwa,mpango wangu ulikuwa kurudi masomoni na akaniambia ok,sasa wewe unakurupuka tu oh eti uliachaje kufanya kazi kwa kaka yako ukaenda kwa muhindi,mara oh wahindi hawalipi mshahara mzuri,mimi sikuomba kazi,ni dada aliniunganisha na huyo mhindi kwani alitaka nisikae bila kazi ya kujishikiza na dada hakupenda nikae nae dukani kwake kwani nisingenifunza chochote kile.Kabla ya kutoa lawama soma stori yote kwanza
 
Utakuwa umechanganya mafaili ile alikutana na Dada wa Kiarabu akiwa nanenda Tabora na ndio alimpa mchongo wa kwenda Nkasi na Kirando kufanya kazi.
sijachanganya. Ujiulize kwann Leo ame-skip kueleza safari ya tren Toka mwanzo(dar-mwanza)

Kaishia kusema kaka aliniuliza nitasafiri na usafiri Gani ,sehemu ya pili inaonesha kashafika mwanza

Alichofanya hapa ,Leo kabadilisha mambo mawili

(1)Utaifa wa huyo Malaya wake kutoka mwarabu kwenda muhindi

(2)mume wake mgonjwa hadindishi kimuhogo muhogo

(3) Dada alimtafutia kazi

ukumbuke hata ilestori ,wahusika wake walewale wengine Leo wamebadilishwa utaifa.....
 
Broo achana na haters wa JF la muhimu wakati wanasoma udenda ulikuwa unawatoka jinsi unavyofaidi
naandika ili watu waelewe siandiki kuonesha elimu yangu,kama ulisoma izi wangu wa jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu utakuwa umepata ukweli wote maana niliandika hivihivi
 
SEHEMU YA KWANZA:NAREJEA TZ KUTOKEA MASOMONI.

Paa,natua Dar kutoka nje ya nchi nilipokuwa nasoma shahada ya kwanza.Nilifikia nyumbani kwa kaka yangu ambae alikuwa mtu mzima sana yaani umri ulikuwa mkubwa sana tu.

Yeye na mkewe walinipokea kwa furaha kubwa sana.Akaniuliza kuhusu mipango yangu,nikamjibu kuwa nitakuwepo nchini kwa miezi 9 tu,baada ya hapo ntarejea kusoma shahada ya pili.Akanijibu sawa.Nikawa namsaidia kazi zake kila siku,maana mimi ni hodari sana kwa kazi.

Kaka yangu alinipenda sana,kwani saa 11 asubuhi nishaamka,naoga nakunywa chai,navaa na naondoka na dereva kwenda ofisi kuu ya kaka maeneo ya ilala sharif shamba,ambapo namuandalia kazi kaka ambae hufika kila siku saa 4 sharp.Akifika nampa repoti ya kazi na ndipo naenda kukagua vituo vya mafuta 7 sehemu mbalimbali jijini dar.Nikitoka kukagua vituo vya mafuta,naenda kwenye duka lake la hardwares mtaa wa jamhuri na narejea ofisini saa 10,ambapo huwa tunakunywa kahawa pamoja na wafanyakazi wake,wa kike na kiume.

Nampa taarifa ya kazi,ambayo huwa nishaiandaa kiufundi sana,na alikuwa anafurahi mno na bahati naye ni msomi wa shahada ya kwanza ya uinjinia wa majengo.

Kila siku huwa tunatoka usiku saa 1 kurejea nyumbani maeneo ya mikocheni.

Namuacha hapo home,mimi naenda kutembea sehemu sehemu na saa 6 narudi home but sio kila siku huwa nafanya hivyo.

Siku moja kaka akaniambia,dada yangu mmoja ambae kaolewa Mwanza anataka niende kumtembelea maana mie nilikuwa namwita mama maana amenilea sana.

Basi nikajiandaa kwa safari,kaka aliniuliza lini ntaondoka kwenda na nitasafiri kwa njia ipi,nikamjibu ntasafiri j3 ijayo,na siku hiyo ilikuwa ni ijumaa,na nikachagua kusafiri kwa treni.Nitaendelea baadae
Ok
 
Nimehadithia 30% ya stori hii,mengi nimeyaacha,nadhani umenielewa
Kwa hiyo Wewe na Dada yako, na Shemeji yako - siku ile unafika kutoka Dar mlienda Tilapia? Si ndio? Dada wa TRA - Mnyiramba - Ukamlia TILAPIA - Si ndio? Na BOSI - Mume wa huyo Mama Muhindi unaemla - nae ukaenda kumpa ripoti hapo hapo TILAPIA Hotel - si ndio?
 
Kwa hiyo Wewe na Dada yako, na Shemeji yako - siku ile unafika kutoka Dar mlienda Tilapia? Si ndio? Dada wa TRA - Mnyiramba - Ukamlia TILAPIA - Si ndio? Na BOSI - Mume wa huyo Mama Muhindi unaemla - nae ukaenda kumpa ripoti hapo hapo TILAPIA Hotel - si ndio?
punguza bangi soma vizuri stori inajieleza
 
Back
Top Bottom