Nilivyoingia kwenye mahusiano na mke wa Mhindi

UONGO WAKO WA KITOTO HUJUI KUTUNGA HADITHI HASA KWA UTAMADUNI WA KIHINDI SISI TUNAJUA KUWA UMEANDIKA UONGO TENA WA KIPUUZI TU. UNAWANDIKIA WENZIO WA FB NA WASIO NA UELEWA HUMU
 
Tilapia ndo sehemu pekee ambayo ametajiwa hapo mwanza so anapotunga story ina cheza cheza hapo hapo Tilapia.
 
Chai hii , u naobdoka kwa bro mwenye pesa unaenda kuuza kiduka.
 
UONGO WAKO WA KITOTO HUJUI KUTUNGA HADITHI HASA KWA UTAMADUNI WA KIHINDI SISI TUNAJUA KUWA UMEANDIKA UONGO TENA WA KIPUUZI TU. UNAWANDIKIA WENZIO WA FB NA WASIO NA UELEWA HUMU
duh we ni kiboko,utamaduni wa kihindi unaujua wewe,ama wewe acha nikupuuze tu
 
Chai hii , u naobdoka kwa bro mwenye pesa unaenda kuuza kiduka.
soma stori toka mwanzo,soma maongezi yangu na kaka yangu mara niliporudi kutoka masomoni utajua why nilienda mwanza,acha papara
 
Tilapia ndo sehemu pekee ambayo ametajiwa hapo mwanza so anapotunga story ina cheza cheza hapo hapo Tilapia.
duh ama wewe akili zako unazijua wewe tu,mimi mwanza napajua miaka mingi mno toka nikiwa na umri wa miaka 14 na hata sasa naishi mwanza,kama huna la kuongea nyamaza tu,unapajua capri point wewe? mtu anayeishi capri point tena mwenye pesa umafhani mahali pake pa kuenjoy italuwa wapi?
 
UONGO WAKO WA KITOTO HUJUI KUTUNGA HADITHI HASA KWA UTAMADUNI WA KIHINDI SISI TUNAJUA KUWA UMEANDIKA UONGO TENA WA KIPUUZI TU. UNAWANDIKIA WENZIO WA FB NA WASIO NA UELEWA HUMU
 
Tilapia ndo sehemu pekee ambayo ametajiwa hapo mwanza so anapotunga story ina cheza cheza hapo hapo Tilapia.
Ni kweli kabisa, inaonekana Jamaa alihadithwa kuwa TILAPIA ndio hoteli pekee Babu kubwa kwa Mwanza. Kwa hiyo kila kitu ni TILAPIA tu.....Kama vile KIPOFU alivyomuona TEMBO....
 
Ni kweli kabisa, inaonekana Jamaa alihadithwa kuwa TILAPIA ndio hoteli pekee Babu kubwa kwa Mwanza. Kwa hiyo kila kitu ni TILAPIA tu.....Kama vile KIPOFU alivyomuona TEMBO....
hivi wewe kwa miaka hiyo niliyoitaja unajua kulikuwa na hoteli ngapi kubwa mwanza?usiongee kitu kama hujui historia ya miji,kwa taarifa yako kwa wakati ule kulikuwa na hoteli zifuatazo: tilapia,mwanza hotel,deluxe hotel,na lake hotel na tilapia ndio ilikuwa hotel maarufu kwa wahindi kwani mwenye hotel ni singasinga na wapishi walikuwa wahindi,wazungu na waafrika na wahindi walikuwa wakienda hapo kula vyakula vya kihindi.kama hujui kitu nyamaza usiropoke kitu usichokijua,kama wewe unaijua mwanza niulize kitu chochote cha miaka hiyo uone kama ntashindwa kukujibu
 
Muhindi wa kumuamini muafrica na kufikia hatua ya kumuachia mkewe hajawahi tokea tangu dunia iumbwe
 
Muhindi wa kumuamini muafrica na kufikia hatua ya kumuachia mkewe hajawahi tokea tangu dunia iumbweView attachment 3288569
pole sana mdogo wangu,uzi huu nilikuwa naelezea hii stori sio historia yangu,lakini kuna stori zangu niliwahi kuelezea kuwa mie mama yangu alikuwa ni mtanzania ila baba yangu hakuwa mtanzania,alitokea nchi moja ya ulaya kwahiyo sisi watoto wote ni masuriyama,dada zangu,kaka zangu wote tumetokea kwa wajihi wa baba
 
Baada ya kuona Kirando Republic imetajwa nadiliki kusema hongera sana mleta Uzi.

Kirando ulikaa maeneo Gani ?@fimboyaukwaju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…