Nilivyokimbia bar Mbagala

Nilivyokimbia bar Mbagala

Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.

Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000 kwampalange tunaenda hata sikujua nijibu nini. Sitakuja tena Mbagala bakini huko na ushenzi wenu. Acha nibaki kwetu Kinondoni baby.
sasa hko kinondoni si ndo ungeambiwa na mdomoni buku jero..
 
Enzi zile uwanja wa fisi na buguruni sewa bar 5000 tu unakula vyote.
Kuna malaya mmoja sewa nilimfukua akatoa ofa ya usiku mzima nikamfukunyue na taxi kalipa kwenda kwake Ilala,
usiku wote ikawa mtaro tu sijui hata nilirudi kwetu sa ngapi.
Veterani wewe
 
Mambo ya kijinga kabisa mnaandika taarifa halafu hatuambiani location mapema mpaka niscroll page ya 3 huko.

Kwahiyo mfano natokea Arusha nafikaje hapo baa uliyosema? Inaitwaje niicheki google maps?
 
Weekend iliyopita nilikuwa bar moja ukipita Dar live upande wa kushoto.

Saa moja usiku nipo counter, kaja dada mmoja ile kumuangalia tu kosa, kanifata ananinong'oneza chumba 5000 na mimi 5000 kwampalange tunaenda hata sikujua nijibu nini. Sitakuja tena Mbagala bakini huko na ushenzi wenu. Acha nibaki kwetu Kinondoni baby.
Duuh Kinondoni tena? Aisee
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Mbagala kuna kwa Mpalange?
 
Kuna hii Id moja isingekuja kuchangia kwenye huu uzi wa kufukuana marinda huu uzi ungekuwa ni batili ila naona imewakilisha vyema.
 
Back
Top Bottom