Nilivyokunywa maji yaliyokamuliwa kutoka kwenye chupi ya mwanamke

Lipia tangazo
Mkuu hili sio tangazo,na pia usije fikiri labda mdogo wangu ni mganga hapana na wala hatibu yeye ni Lecture tu ila anauwezo huo aliopewa,kwahiyo sijatangaza kitu ,ila kwa wanaoelewa naamini wanafahamu kivuli cha mshumaa kilivyo na mtetemo
 
Nilivyoona jina flora nikajua uongo huu
 
akushike kila sehemu na akawa amekuweka kwenye orodha yake ya kuwa msukule wake ambae atakua anafanya mapenzi ma wewe kwani pale kwake pia ana misukule wanaume wengi wao anafanya nao mapenzi tu.
Sikuwahi kufikiria kama kuna Aina hii ya misukule
 
mimi ndiyo maana huwa napiga vita juu ya hii tabia ya baadhi ya wanaume kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye hata hamjuani vizuri wala kodi humlipii, pole sana na imani umepata funzo.
 
mimi ndiyo maana huwa napiga vita juu ya hii tabia ya baadhi ya wanaume kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye hata hamjuani vizuri wala kodi humlipii, pole sana na imani umepata funzo.
Nilipata funzo hii ilikua miaka ya nyuma huko mkuu
 
Mkuu simulizi tamu namna hii ni ya kuifupisha kweli!
 
Mkuu simulizi tamu namna hii ni ya kuifupisha kweli!
Story ni ndefu sana ila yeye ndo aliniingiza kwa waganga bila kujua,
Hayo maji ya chupi yake nimekoga sana kama si kunywa kabisa.
Ila tulipendana kale kademu kakinifuma aisee kinazima naanza kukapepea tena
Hadi kaamke 🤣🤣🤣
 
Dah!
Mapenzi haya!
 
Afya ya akili bado ni tatizo kwenye jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…