Nilivyokutana na Diamond Tukuyu akiwa ziarani

Janken jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
1,125
Reaction score
1,180
Mwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.
 
Attachments

  • 20190402_165803.jpg
    20190402_165803.jpg
    236.4 KB · Views: 112
  • 20190402_165811.mp4
    23.5 MB
  • 20190402_165735.jpg
    20190402_165735.jpg
    233.7 KB · Views: 63
  • 20190402_165752.jpg
    20190402_165752.jpg
    233.8 KB · Views: 91
  • 20190402_165735.jpg
    20190402_165735.jpg
    233.7 KB · Views: 106
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daimondi wa tukuyu.
Daaahhh ila imeniuma mb23 kwa video ya sekunde 4.
Mkuu hio simu yako kwenye video recording ni jini inakula wese ile mbaya ni bora uiuze ununue passo.
Nmekupata
 
J

Jamaa siyo mwenyeji wa Tukuyu bali yupo hapo tky kikaz zaid.platnamz
 
Hiyo Picha imepigwa maeneo ya Bagamoyo mbele ya nyumba ya Kimpo, ukishuka kidogo unafika kwa Madodi, mbele kidogo unafika Soko Mjinga halafu pembeni kuna nyumba ya mhindi mmoja aliyekuwa akiitwa Topiwala, halafu mbele ni lwa Mkakile, na kwa pale juu zamani palikua kuna kituo kinaitwa kwa Aden.
Halafu huyoo unatokomea Mwisho wa Mji ili uende Katumba.
 
Unao

Unaonekana ni mwenyeji wa bagamoyo.toka kwa madodi mpaka mkikile (sasa sadik mkakile pana nyumba kama 7 ivi)bagamoyo kwa wagiriki.
 
Back
Top Bottom