Janken jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,125
- 1,180
Mwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa siyo mwenyeji wa Tukuyu bali yupo hapo tky kikaz zaid.platnamz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daimondi wa tukuyu.
Daaahhh ila imeniuma mb23 kwa video ya sekunde 4.
Mkuu hio simu yako kwenye video recording ni jini inakula wese ile mbaya ni bora uiuze ununue passo.
Mwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.
Unaonekana ni mwenyeji wa bagamoyo.toka kwa madodi mpaka mkikile (sasa sadik mkakile pana nyumba kama 7 ivi)bagamoyo kwa wagiriki.Hiyo Picha imepigwa maeneo ya Bagamoyo mbele ya nyumba ya Kimpo, ukishuka kidogo unafika kwa Madodi, mbele kidogo unafika Soko Mjinga halafu pembeni kuna nyumba ya mhindi mmoja aliyekuwa akiitwa Topiwala, halafu mbele ni lwa Mkakile, na kwa pale juu zamani palikua kuna kituo kinaitwa kwa Aden.
Halafu huyoo unatokomea Mwisho wa Mji ili uende Katumba.