shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Utamaduni kitu kibaya sana. Huyu anaweza kuposwa, maana Mexico maua ya rangi ya njano ni love ila nyekundu ni kifo, ulaya pink wewe ni gay ila Tanzania pink ni fashionMwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.