Nilivyokutana na Diamond Tukuyu akiwa ziarani

Mwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.
Utamaduni kitu kibaya sana. Huyu anaweza kuposwa, maana Mexico maua ya rangi ya njano ni love ila nyekundu ni kifo, ulaya pink wewe ni gay ila Tanzania pink ni fashion
 
Hiyo Picha imepigwa maeneo ya Bagamoyo mbele ya nyumba ya Kimpo, ukishuka kidogo unafika kwa Madodi, mbele kidogo unafika Soko Mjinga halafu pembeni kuna nyumba ya mhindi mmoja aliyekuwa akiitwa Topiwala, halafu mbele ni lwa Mkakile, na kwa pale juu zamani palikua kuna kituo kinaitwa kwa Aden.
Halafu huyoo unatokomea Mwisho wa Mji ili uende Katumba.
Umenikumbusha Katumba. Nilikua nafanya kazi kiwanda cha chai miaka ya 80's
 
Huyu jamaa huwa kila wakati yeye yuko happy tu nikimuona na earphone zake hizo
 
Hiyo Picha imepigwa maeneo ya Bagamoyo mbele ya nyumba ya Kimpo, ukishuka kidogo unafika kwa Madodi, mbele kidogo unafika Soko Mjinga halafu pembeni kuna nyumba ya mhindi mmoja aliyekuwa akiitwa Topiwala, halafu mbele ni lwa Mkakile, na kwa pale juu zamani palikua kuna kituo kinaitwa kwa Aden.
Halafu huyoo unatokomea Mwisho wa Mji ili uende Katumba.
Mkuu itakua nakufahamu....mimi niko hapa mwisho wa mji
 
Back
Top Bottom