Nilivyokutana na Diamond Tukuyu akiwa ziarani

Mwanzoni mwa mwaka huu nilisafiri kwenda mkoani Mbeya na Songwe,katika pita pita zangu mara paap Diamond huyu hapa.
Utamaduni kitu kibaya sana. Huyu anaweza kuposwa, maana Mexico maua ya rangi ya njano ni love ila nyekundu ni kifo, ulaya pink wewe ni gay ila Tanzania pink ni fashion
 
Umenikumbusha Katumba. Nilikua nafanya kazi kiwanda cha chai miaka ya 80's
 
Huyu jamaa huwa kila wakati yeye yuko happy tu nikimuona na earphone zake hizo
 
Mkuu itakua nakufahamu....mimi niko hapa mwisho wa mji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…