Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Nilivyokutana na 'singo maza wa kiarabu'

Msimuliaji ananichekesha pamoja na kupondwa yeye anawapelekea moto kwa kushusha episode za kutosha 😹😹😹

Na wasomaji wanaponda ila wanaendelea kufatilia kwenye typing error wanarekebisha wenyewe muhimu story ina mambo ya ngono 🤣🤣🤣
Umenichekesha sana
 
1.Usimamizi wa shughuli za uvuvi,manda kerenge,mvuna na kipili

Aisee kwanza nianze kwa kumshukuru sana Mungu kwa maisha yale kwa wakati huo ama ningeuawa kwa wivu wa kibiashara,ujambazi au ukimwi maana kulikuwa na visa vingi mno.Mungu alinilinda na niliondoka salama.
1.1 Napanga upya safu ya uongozi biashara ya uvuvi.
Bosi alinikabidhi watu wake wote wa hiyo biashara na akawaambia kuwa huyu mtu ngoja nijiite,Majinuni ndiye bosi wenu na ndio mwenye mamlaka ya mwisho juu ya kazi hii,hivyo msikilizeni.Nilifanya kikao nao wote hapo manda kerenge,nikatembelea kambi ya mvuna na kipili.Bosi alinikodia nyumba manda kerenge maeneo yanaitwa mkigoma ambayo ndio oysterbay ya kule lakini mimi sikupapenda nikaenda uswazi nikapanga nyumba nzima,ni nyumba za tope na imepigwa bati vizuri,nikatafuta mdada mmoja nikampa kazi ya upishi na usimamizi wa nyumba yangu,huyo mdada alikuwa hana mume na wala hakuwa na mtoto ila alikuwa kaumbika na nilijua kuwa ntamla tu,alikuwa na mdodo wake wa kike ambae ni mjanja mno ni kama informer fulani hivi,na ni mrembo kwelikweli,alikuwa na nywele fulani hivi sizielewi,japo ni mbantu pure lakini nywele ni za singa,naye nilijua ntamla tu ila kwa maarifa makubwa na kwa mipango mikubwa sana.
1.2 Safari ya kirando mtakuja
Unajua naandikia simu hivyo mnivumilie tu maana kuna vitu sitaweza kupangilia sawasawa

Safari yangu ya kirando ilikuwa ni kukaa na kuipanga upya safu ya uongozi na idara za kazi.Kabla sijaondoka nilimwita yule mpishi wangu,ni mama mmoja mfupi,kajaza uno na tako mashallah analo,alipika samaki na ugali,na nilikuwa na bia kama 10 hivi.Baada ya kula nilikaa nae nje huku tukinywa bia na nilikuwa namuuliza maswali mengi,ili niwajue hao wafanyakazi wa boss,vigogo vya manda kerenge,wanawake wa hapo,huyo mama alinipa taatifa nyingi sana,na kwa mnasaba wa stori hii,namwita ngiyamthanda,na kifupi ntamwita ngiya.Tukanywa bia weee,zikiisha anatumwa mtu anaenda mkigoma analeta,nikamwita anisogelee,akaja nikamuuliza stori za mwarabu mmoja ambae ndio bosi wa huo mradi anayeishi hapo manda kerenge.

Akanieleza mengi mno kuhusu huyo mwarabu,ambae nampa jina la umphazi.Aliniambia uovu wa huyo mtu na akaniambia niwe makini nae sana.Nikamuuliza je nikitaka mwanamke hapo kijijini nimchukue nani?
Ha ha hakujua kuwa mie nataka nimle.Alinitajia wadada 2 na mmoja wapo ni yule mdogo wake,ambae kwenye stori hii ntamwita loliwe.

Saa 6 ya usiku ngiya pombe ikampanda kichwani,akaleta nyama ya kuku,tukala,tulipomaliza nilimshika mkono nikamwambia japo wewe hukujitaja kwenye orodha ya wanawake ambao naweza kuwala nimekuchagua wewe,akaanza vike vya kike kike,na hakujua kuwa kakutana na bingwa katika fani ya kunyandua,nilimpeleka chumbani,nyie wadau acheni tu.
Ngiya nilimkanyaga usiku kucha,kitanda kililoa,mashuka yakaloa,saa 12 alfajir akaondoka kwenda kwake na nilimwambia apumzike aje saa 8 mchana.

Sasa yule mdogo wake yaani loliwe nilikuwa na kazi nae kuanzia saa 4 na niliongea nae kuhusu kuambatana nami kwenda kirando kwa ajili ya manunuzi ya mahitaji kadhaa na pia nilikuwa nataka nimpe job description yake.Lakini nikaanza kumdodosa kuhusu huyo dada yake,maisha yake na wanaume zake na akanipa maelezo ya kutosha,na yeye pia nikamdodosa maisha yake akanieleza kuwa ana bwana mkongo anaishi moba zaire.Yeye nikampa kazi ya msimamizi wa ghala la vifaa kwa kambi 3,alifurahi mno na nikamwambia ajitayarishe kesho asubuhi saa 4 tutadafiri kwa mtumbwi kwenda kirando
1.3 Wow kirando mtakuja na misukosuko na maraha yake.
Huo mji ulikuwa pembeni mwa ziwa tanganyika,meli kubwa 2 zinapita hapo,meli hizo ni Liemba na Muongozo.Meli hizo pia zinapita manda kerenge lakini hapakuwa na gati zinasimama kwa mbali na mitumbwi hufata abiria na mizigo yao.Kirando ni kimji cha biashara na waarabu walikuwa wengi wakati huo na maduka yao na wengi wamezaa na waswahili wa hapo,hivyo machotara wengi,pia walikuwepo wazaire wengi,wakati huo hawakuwa wanaitwa wakongo,na palikuwa na kibendi fulani cha mziki,bahati nzuri mimi nilikuwa nalicharaza gita vizuri tu,kitu nilikitumia kuwalamba mademu wengi mno.Kitu ambacho nilikuwa najiuliza siku zote hivi hizi akili za kuwa mjanja hivyo kwenye kazi zilitoka wapi?Basi nipumzike hapa kidogo,nitaendelea baadae
 
Mwandishi huyu ukianza kulalamika yeye yupo mbali na story yake Hana habari anagawa job description Kwa Kila mtu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom