Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu,ndio maana niliuliza mwaka na jina la chuo nilikua sijui kama zamani boom lilikua linapokelewa kwa muhasibu.
Kipindi icho ilikua 620,000(boom 420k na stationary 200k) unapewa pesa mkononi, 1st year wengi sana walipoteza pesa zao siku Hio Hio maana siunajua kiwewe tena Cha pesa
 
Dogo una spirit ya hustling, una uthubutu, una nidhamu ya fedha bila shaka ushafika mbali sana kibiashara. Mshukuru sana Mungu wengi tuneshindwa tunaishia kwenye ndoto tu!!
Niomba uni tag ukileta sehemu ya 2
 
Point mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba anajua kunusa pesa , ila kwa miaka ya sasa hivi pesa ilivyokuwa ngumu unaweza kukuta hana maisha kabisa.
STORY YAKO INAFUNDISHA SANA MKUU.
 
Story inaweza kuwa chai lakini ukikosoanuwe na uhakika na hiyo taarifa unayoikosoa.
Halafu pasaka hii wacha watu wafurahi kidogo...
Anyway, kuna watu huwa wana mastory yao ya hivi kumbe wanataka kupiga watu nakumbuka story za forex za yule wa kudownload noti alianzia story zake tangu yupo tumboni hajazaliwa, vidudu, primary o level advance, jeshini chuo kumbe dah....majanga pia kuna wengine wanataka kushare experience.... mtu akipigwa si atajijua mwenyewe tuuu....
 

Udsm ilikuwa hivyo miaka mingi. Bumu la kwanza unapewa dirishani kwa mhasibu
 
Mkongeni dakawa hiyo
 
Kama ni haramu mbona benki hazifilisiki
Yes, i wanted to say that, game ya hela bana ni ishu tu ya kuwa makini na kujua kuicheza. Watu wanasema ni haramu kutoa jela kwa riba, kwan kuna mtu anamnyang'anya mtu hela si anachukua kwa hiari yake na shida zake? Benki zote zinapata faida kwa biashara hyo na kila anayechukua mkopo kama ana akili anatoboa na anarudisha riba ya watu.

so wanaosema ni biashara ya udhalimu ndo wale wanaoamini ile kauli kuwa money is a source of all evils, na huwez kuwa na hyo mentality af ukawa na hela, big noo

Dah wazee nataka hela ila tu nisimkabe au kumwibia mtu hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…