Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

St Mathews ama St Anne Marie ss
 
O level nimeuza sana Mandazi,Samaki wa Kukaanga,Kitimoto,Ndizi za kuroast,pombe kali za viroba + bangi(japo sikuwa mlevi wala mvutaji)

Watoto wazuri walikuwa wananishobokea balaa
 
mkuu Mimi nilikuwa tofaut kidogo, nilikuwa naiba magodoro ya bweni naenda kuwauzia mafundi sofa,
Kuna fundi sofa alikuwa ananunua magodoro 10k [emoji3][emoji3]tulikuwa tunaona ni hela nyingii vibaya sanaaaaaaa
Tumeyauza sana
 
[emoji23][emoji23], hii bei ya Wali sh 200 ni miaka ya 90,labda kukopesha kaanza akiwa chuo kikuu, miaka ya 2000
Shida ya watz unakuta unaishi labda singida basi unahisi kuwa maisha ya Singida ndo Tz Nzimaa

Maeneo ambyao wanalima Mchele kwa wingi huo wali hauna bei...mfano kuna mahali 2010 wali maharage sh 600 tena wa kushiba wali nyama Buku
Sasa unashangaa nini wali kuwa 200 miaka labda mitano nyuma??
 
Haiwekezani,, labda uwe unaongelea huko matakoni mwa Tanzania(kusini),, sisi wa kanda ya ziwa ndo walimaji wazuri wa mpunga,, na huwezi kupata wali sahani 200 hata kwa miaka 15 nyuma
 
Mkuu nilienda kyela mwaka 2006 nilikula wali maharage kwa 150.
 
Haiwekezani,, labda uwe unaongelea huko matakoni mwa Tanzania(kusini),, sisi wa kanda ya ziwa ndo walimaji wazuri wa mpunga,, na huwezi kupata wali sahani 200 hata kwa miaka 15 nyuma
Chuo kikuu cha Dar es Salaam main campus wali maharage (RB) ulikuwa unauzwa Tshs. 800/- mwaka 2016 ktk cafeteria za wanafunzi. Chini ya mwaka 2010 ulikuwa unauzwa Tsh. 600/-.

It's possible chakula kuuzwa Tshs. 200/- kama target customer group lako ni wanafunzi wa sekondari tena shule za bweni za serikali chini ya miaka ya 2010. Hili ni kundi lenye kipato kidogo huwa wanauziwa vyakula vyenye grade ya chini.
 
Aisee RB imetuokoa sana pale mlimani, 600 tu soda ilikuwa 350

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja
 
Kwa bei ya tshs 200/- kwa sahani ya wali ndondo, hiyo ni miaka 2003-2006 fulani hivi. Nakumbuka mwaka 2004 shuleni kwetu kulikuwa na simu moja tu SIEMEN fulani hivi yenye antenna.
 
Kwa shule nilizosoma mie TABORA BOYS na SENGEREMA SECONDARY. Hii biashara ya mwamba ilikuwa haiwezi kudumu kwa siku 3. Unakuwa ushakamatwa kitambo
 
Tulikuwa form one mwaka mmoja shekhe wangu. Shuleni kwetu form 1-6, hakuna aliyekuwa na simu. Nilipoenda Form five kuna jamaa mmoja (Kenedy) alikuja na simu SIEMEN fulani hivi yenye antenna. Ofcourse, during those time, wali ndondo ulikuwa tshs 150 -200/-
 
Kwa miaka ile ni sawa. Hata mimi nimekula wali Tsh 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…