Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Yule dogo alijua kutunga aisee. Kuna story yake ya kukodisha trekta aliiweka humu alipiga hadi picha Dah. Aisee yule ana kipaji cha kuwa mwanasiasa aachane na udalali wa Forex. Anatakiwa achukue form agombee ubunge ,😂😂😂. Ontario popote ulipo 🙌🙌🙌🙌
 
Keshakula mema ya nchi kapumzika sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila kifupi tu
Kwa kifupi tu,wewe jamaa una akili sana...Utakuja kuwa tajiri sana..Sijui kwanini nimewaza hivyo.
 
Eti MUngu ana makusudi yake😂🤣🤣, dah na hao watembeza chai wali fikiria Nini😂🤣🤣
 
Am waiting ila mwendo uliumaliza mara baada ya kujihusisha na biashara ya kidhalimu ya kukopesha kwa riba!! Riba haijawahi kumuacha mtu salama .
Labda utakuwa OUT of YOUR MIND.

Riba ndio biashara, Ukiondoa Riba sio biashara tena bali ni msaada.

Bila Riba fedha itaongezekaje? Unanunua kitu kwa Tsh 1,000 then unakiuza Ths 1,300,maana yake umepata faida ya 300 ambayo kimsingi bado ni Riba (Interest).
 
Achana nae mm nimesoma govt school, unaweza kukaa muhula wote home na shule wasijue
Acha usenge dogo. Huyo mwalimu wa Darasa atakuwa ni Sanamu. Mhula Mzima haupo Shuleni na mwalimu wa darasa asijue? Never.
 
Riba na faida ni vitu viwili tofauti.

Faida ni halali ila riba si halali.

Ni sawa na kufanya mapenzi na mkeo ni halali ila ukifanya mapenzi na hawara si halali.

Faida ni pato linalotokana na kuuza bidhaa ama huduma.

Riba ni k,iasi cha ongezeko katika mkopo. Mfano unakopa sh 10000 ila unaanbiwa ulipe 15000...hiyo 5000 ndio Riba ,Mungu ameiharamisha Riba na amehalalisha biashara
 
Mimi nimesoma High Level boys moja maalufu mwanza simu tulkuwaa tunachaji mwalimu yuko anafundsha, baadae mambo yakabadilika tukapewaa order simu tumia ilaa ukikamatwa shauri yakoo
Hapo kwenye red pame-raise red flag
 
Huu uzi ni CHAI tena ya RANGI [emoji52][emoji52][emoji52]

Izo biashara za sekondari kuazia Form one ni uongo mtupu hakuna shule upige dili kama izo usidakwe hakuna nasema.
 
Wanao bisha kuusu bei za bidhaa ni Hawa watoto walio zaliwa juzi juzi wame kuta Mia Ina tumika kupata pipi lakini sisi tulio tumia shilingi tano kununua kitumbua hatuon ajabu
 
Uyu Jamaa yupo hai kweli ama Alishakufa maana kaishia njiani na story yake
 
Yuko sahihi kwa baadhi ya shule...mfano, nilikosoma A-level hatukuwa na huo utaratibu wa kufuatiliana. Nilikuwa kiongozi wa darasa na attendance nilikuwa napewa na mwalimu nijaze siku wakaguzi wakija.

Kwa waliosoma Malangali kabla ya 2010 (wakati wa Seme kama HM) wanamkumbuka bro mmoja kutoka Ukerewe aliwahi kuvuta miezi miwili na aliporudi hakuna aliyemuuliza chochote. Ni tofauti tu za kimazingira...ulichopitia wewe si lazima kiwe Sawa na alichopitia mwingine.
 

Simu mashuleni zimeanza kwenye 2003 hadi 2004 hapo...

Ni wazi huyu dogo kama visa vyake ni vya ukweli basi alisoma shule baada ya hapo...
 
Ili kusoma episode 2...dondosheni buku 5

Mr mutuu kaniteua mimi kuwa nyapala wa uzi kama wale watemi wake aliokuwa anawapa ukabaila sekondari na chuo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…