Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Pamoja na kusokotwa itoshe kusema biashara ipo damuni kwako, maarifa na uwezo wa kuzalisha faida kutokana na mtaji unao, kama uliweza kugraduate ukiwa na 50m basi uko vizuri, kuna watu hizo wanazishika baada ya kuvuja jasho kwa miaka isiyopungua 30
 
Mkuu home ni mkoa gani?.
 
Arostoooo
 
Ujumbe ambao ungeandika paragraph tano. Unatengeneza kitabu.
 
Umesema kipindi hicho ilikuwa sahani ya wali unanunua 200, so 5k ya kipindi hicho ni kama 50k ya sasa

Halafu unamkopesha mtu elfu 5 (50k ya sasa) wakawa wanakulipa 15k (150k ya sasa) na biashara ikawa kubwa?

Yaani hapa ndipo nilipoishia kusoma hii story, hii ni chai ambayo haina sukari,.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo biashara ungefilisika baada ya muhula mmoja tu
Naongea haya kwa sababu nina experience na biashara ya kukopesha pia

Ukikoesha watu hela tena kwa riba kubwa bila kuwa na dhamana inayoweza kuuzwa kirahisi hapo jiandikishie kufilisika


Haya mnaoamini hii ni kweli nitoleeni povu
 
Hata Kama story siyo yangu .
Jamaa umekurupuka kisenge yaani
 
Rudia Tena na Tena kuisoma hiyo story,yaani umeenda OP Mwana
 
Bado utakua na hangover kiongozi

1) sioni tatizo lolote kuchagua shule ya kwenda kama option zilikua mbili
2) sidhani kama Kuna sehemu nimesema 30k Inalingana na laki 3...
Sijaelewa unaposema ukikopesha 2k(japo sikusema hivyo Mimi) ukapata return ya 10k unafilisika vipi?
3) mikopo ya walimu nazungumzia kipindi Hiki, nilijaribu tu kulinganisha kipindi hicho na wakati wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…