Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Mkuu sijui kama umemsoma vizuri huyo jamaa.. Amesema kabisa alikuwa anaangalia wa kuwakopesha na kiasi nadhani pia alikuwa anazingatia. Amesema kabisa wale mbavu mbavu alikuwa hawapi hata wafanyaje, wale familia duni pia alikuwa hawapi. Nadhani alikuwa anaangalia sehemu ya kupeleka hela yake ambayo alikuwa na hakika itarudi. The guy was smart na hicho ndicho kinachofanya wengine wawe matajiri na wengine maskini, UTHUBUTU WA KUFANYA YALE WENGINE WANAHISI HAWAYEZEKANI AU MAGUMU.
 
Kashaeleza namna alivyokuwa na hao jamaa wawili mbavu waliokuwa wanamsaidia kudai endapo mtu angezingua
 
Boss nimesoma Govt kuanzia msingi hadi chuo. Form 1 & 6 nimesoma bweni shule tofauti 3 zote za serikali. Hakuna utakachoniambia kuhusu shule za serikali. Niko Form one mwaka 1999 shule nzima hakuna mwenye simu. Mimi nitaendelea tu kusoma uzi wako mwingine kama burudani tu ila sio kuamini ulichoandika.
 
Kama mpaka leo unapata wali buku, 2010 ukose wali wa mia mbili enzi hizo kuna note ya 500?
Kuhusu mkopo ameelezea alikuwa yuko selective kwa watu wa kuwakopesha.
Kuhusu simu shule niliyo soma mimi simu kuita darasani ilikuwa kawaida na mwalimu anafundisha anakuambia uzime, shule za boys usnitch huwa sio sana nadhan ameanza kufanya hiyo biashara ya simu form3 shule ikiwa boys tu.
Lastly haina haja ya kukaa ku-critcise kama ni chai nikupoteza mda wako wasomaji wengi hapa tunasoma kujiburudisha tu hatujali kama ni chai or whatever.
 
Kama mpaka leo unapata wali buku, 2010 ukose wali wa mia mbili enzi hizo kuna note ya 500?
Kuhusu mkopo ameelezea alikuwa yuko selective kwa watu wa kuwakopesha na mind you form one ndio wanapewa jela nyingi wazazi wanaamini bado hawajazoea maisha ya boarding.
Kuhusu simu shule niliyo soma mimi simu kuita darasani ilikuwa kawaida na mwalimu anafundisha anakuambia uzime, shule za boys usnitch huwa sio sana nadhan ameanza kufanya hiyo biashara ya simu form3 shule ikiwa boys tu.
Lastly haina haja ya kukaa ku-critcise kama ni chai nikupoteza mda wako wasomaji wengi hapa tunasoma kujiburudisha tu hatujali kama ni chai or whatever.
 
Kwanini watu mnapenda mambo ya uongo uongo? Ndo maana matapeli wanatupiga kila upande. Tunapuuzia sana mambo hata kama ni uongo wa wazi. Kwanini tulazimishane kuamini mambo yasiyo na uhalisia? Mwandishi angeweka Disclaimer kwamba hii ni stori ya kufikirika na haina uhalisia tusinge-criticise
 

Nimewahi sema siwezi tapeliwa, watu wa kabisha, ngoja nione mama hapa kwako ningepigwa au la
 
Chai. Style ya uandishi inaonyesha kabisa chai hii.
 
Mkuu unaamini hii ni uongo kwa sababu ya mazingira uliyosomea.
2010 una uhakika hupati wali wa 200!?
 
Mkuu unaamini hii ni uongo kwa sababu ya mazingira uliyosomea.
2010 una uhakika hupati wali wa 200!?
Nadhani tusibishane sana. Mimi nausoma huu uzi kama burudani tu. Hata ukiletwa mwingine nitasoma pia ila ukiwa na chai nitakosoa unless awe ameweka disclaimer
 
Unatusumbua, bora ukae kimya mkuu hii story haikuhusu
 
Kama unaona kadanganya we piya kuleeee acha sisi tunaosubiri episode2
 
Nadhani tusibishane sana. Mimi nausoma huu uzi kama burudani tu. Hata ukiletwa mwingine nitasoma pia ila ukiwa na chai nitakosoa unless awe ameweka disclaimer
Perception zako ndio zina create reality kwako.
Binafsi sujui kama hii story ni ya kweli au uongo.
Ni sawa na yule mtoto wa Mengi Motie Mengi aliyeshangaa watu kukosa laki so we are living different reality.
 
FisadiKuu unashusha hadhi ya mafisadi kwa kuamini hii chai.​
Pesa inatengenezwa pale ambapo wengine hawawezi kudhani inawezekana.

Hivi unadhani kwa akili ya kawaida tu ile over invoice ya ATCL kwenye uhalisia wa kawaida unaweza kudhani mtu/watu anaweza/wanaweza kuyafanya yale??

Nimeona hoja yako hapo juu labda nisaidie kumjibia mleta uzi.

2. Hiyo miaka ya 2010 alivyokuwa anauza Ipad kama wali ulikuwa 1,000 tena chuoni, unashindwaje kuamini miaka 7 au 8 nyuma wali kuwa 200 kwenye canteen za shule za sekondari??

4. Mimi nimesoma Private School, tena hapahapa Dar yenye kila aina ya usimamizi na nidhamu. Lakini nilifanya biashara ya kuuza pipi (Ivory) na vyakula kama Sambusa na Chipsi kwa miaka mitatu kuanzia Form Two mpaka Form Four bila hata kushtukiwa. Ile shule ilikuwa ukiruka tu ukuta uingie mtaani wale wa mtaani iwe raia au hata walinzi wa shule wakikukamata na wakakupeleka shuleni wanalipwa laki moja cash (kwa kulisema hili nadhani waliosoma ile shule kama wapo hapa watakuwa wameijua) ila kwa mazingira hayohayo magumu mimi na biashara yangu ilisurvive kwa miaka mitatu na ilikuwa lazima hii mizigo ifuatwe nje na ije kuuzwa shuleni. Kuna mbinu nyingi sana nilikuwa natumia, nilinunua viongozi wa dormitories pamoja na maprefects ikiwemo Head Boy, nilijenga urafiki na Patrons ingawa hawakujua ninachofanya. Nilifanya hivyo makusudi ili wale spies directly wasiweze kuwa threat kwangu sababu walijua wakienda either kwa maprefects au Patrons kunichongea lazima habari zitanifikia. So kwa upande wa jamaa tena shule za serikali ambazo walimu wapo busy na mambo yao sidhani kama inashindikana jamaa alichokifanya.

Kitu kinachotenganisha utajiri na umaskini ni UTHUBUTU tu. Maskini wamekariri njia rahisi na salama kupata pesa ila matajiri ni tofauti. Maskini ni muoga, anaogopa kupoteza alichonacho, tajiri yeye plan yake anaangalia atachopata kwanza sio alichonacho mkononi.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…