Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

Mleta mada tuletee episode 2 ya kulia pasaka hata sisi wazee tunapenda hadithi zenu vijana.

Mleta mada hongera kwa kuleta uzi huu na umeandika vizuri na kwa urefu endapo kama bado hujaoa karibu nyumbani kwangu uchague nina wajukuu wengi wa kike na wengi wao ni bikra.
 
Achana nae mm nimesoma govt school, unaweza kukaa muhula wote home na shule wasijue
 

guess hii ilikua miaka ya 2007 hadi 2009
 
Hongera sana mkuu kwa upambanaji maana umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo nikiwa chalii mdogo kuna bro wangu alikuwa South Africa alikuwa ananitumia mzigo wa simu used kama vile Blackberry, Soni Xperia, Nokia, Samsung na iphone.

Ikumbukwe kwamba hizi simu nilizooredhesha hapa ni matoleo ya mwanzo kabisa kipindi zinaingilia tu lakini zilikuwa za moto kwa wakati wake.

Nilikuwa naweza kuuza simu moja nikapata faida hadi 150k baada ya kutoa gharama na faida ya bro aliyokuwa anahitaji.

Sasa hapo unakuta kaleta mzigo mkubwa na mzigo haukai ni oda za watu yaani ukifika tu ushaisha naweka changu mfukoni namtumia pesa yake kupitia Western Union ama Money gram.

Baadae biashara ikakuwa akawa ananitumia hadi laptop na ps kipindi zimeingilia tu huku kwetu Bongo bado ni wachache wanamiliki.

Nilikuwa napiga hela hadi najisemea imependelewa na Mungu aise maana watu wanakukabidhi pesa kabla mzigo haujaja na mzigo ukitua tu nawapigia simu wanafata home kwetu.

Matapeli wa Sinza wakataka kuniingiza mjini lakini namshukuru Mungu walirudisha mzigo baada ya kuchukua askari nakuanza msaka maana nilipewa details zao mwisho wa siku mmoja wao aliingia 18 za polisi maeneo ya Mlimani City akakamatwa ndo akatupeleka kwa wenzie bahati nzuri walikuwa hawajauza mzigo nikaukagua nikabaini ni wenyewe askari wakasema hawa matapeli tuachie sisi tutawakamua ipasavyo.
 
Nimeona mbali sana hadi natamani niwe wrong.

Looks like kuna mtu anajijengea CV hapa.

In a day kuna uzi wa mtu anataka guide ya biashara ya dhahabu na huyo ni new ID, huku nako kuna uzi wa hustler mmoja in a new ID, huyo hustler pia kwenye uzi wa dhahabu yupo in the same ID anaongelea investment ya kuingia porini kwa 10m wakati mie nmeingia kwa 1m na naona return nzr. Anyway this is just my analysis that's why I wish that I'm wrong
 
Nakuona motivation speaker...una B ngapi benki?
 
Mkuu imebidi niutafute huo uzi, ila mbona ushauri alioutoa kule sio mbaya?

Unavyoona wewe ni sahihi kuingia na 100m yote kwenye biashara ambayo huijui vizuri na huna uzoefu nayo? Naona kamshauri vizuri aanze na angalau 10m kwenye hiyo 100m ili apate uzoefu wa hiyo biashara!!

NB; Sijaendelea kusoma comments za chini sijajua kama waliendelea kuengage
 
Shule za government bana, around 2012 nilikuwa nauza simu used mashuleni, mzigo ulikuwa unatoka Nairobi.
Mimi nimesoma High Level boys moja maalufu mwanza simu tulkuwaa tunachaji mwalimu yuko anafundsha, baadae mambo yakabadilika tukapewaa order simu tumia ilaa ukikamatwa shauri yakoo
 
mzee, mimi sio mwandishi wa story lakini nataka kuoa binti bikra. Nikaribishe nyumbani nipate kujisevia
 
Hujausoma huo uzi vzr, rudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…