Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Hapa nami aliniacha,sikutaka tu kuonekana naharibu story.
 

Oya Mzee Ndio umeishi South Africa Sawa tuachie sisi story iendelee bhana mbona una kisabengo Mzee.
 
Konda wa Khumbu vipi Kanisa hajasema limemuhifhadhi ila Kanya ndie aliyemuomba Mghana awe anaishi kwake na Mghana ndie aliyepewa hifadhi na Kanisa una hoja ila hujasoma story kuipenda so wewe umesoma kutafuta maswali tu... i heard watanzania walioishi south Tabia zao hugeuka kuwa wezi tu na maisha ya ujanja ujanja tu na wakirejea TZ ni majanga matupu ukikosea tu anakuliza hata uwe ndugu wa damu...
 
Tuliza makende wewe. Mbona uzi wako wa Khumbu hatukuletea vurugu?😀 Fuseki...Msunu wakho.
 
Tujamaa twa JF bwana! Eti vinajidai vyote vilishafika South nimebaki mimi tu! Ukigusa kwenye magari twote tunamiliki mikoko ya hatari! Njoo kwenye usoni utafikri twote tuna ma-PhD ya hatareeee! Kazi kweli
 

Tunaomba Sana tena Sana keagan heshimu mamia ya wafatiliaji wa huu uzi wako kwa kuendelea ulipo ishia
 
Mzee acha uzi utembee wewe mbona ulituletea picha ya Khumbu ya uongo?
 
Boss achana nae uyo tupo wengi tu ambao tunaishi SA kila mtu ana jinsi alvopamban kutoka kimaisha.

Tuangushie EPISODE zlizobak [emoji120]
Mnalipa gharama ya kukubali kudemka ngoma ya konda msafi badala ya kumfukuza hapa akamalizie story yake kule.Konda Msafi ni hopeless populist anaetafuta umaarufu kwa mgongo wa watu wengine ambae anataka kudanganya na kuaminisha uma kuwa Afrika kusini kila kitu kinafanana na maisha ambayo aliyoishi yeye kitu ambacho ni non-sense.Mlipaswa kumpuuza mapema sana.Kama ni mtu wa maana ungekuta alishamalizia story yake kule.
 
Kwan keegan mwenyewe anasemaje[emoji36][emoji36]
Amepigwa under the belt na mkuu sana Konda Msafi hatarudi tena! Kumbe mambo mengi alikuwa anatudanganya hata South Africa hajawahi kufika yuko Mbagala kwa Mtogole. Amefanya kuyapakua mtandaoni, sasa wakawa wa South Africa walipotia timu ikabidi akimbie!
 
Konda msafi kapiga knock out moja ya hatari Keagan Paula chali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…