Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mmmmmmh kwa maswali haya na hoja hizi nilizo zisoma hapa aah sizani kama mleta story ata endelea [emoji38][emoji38]ila acha tusubiri huenda akarudi kujibu maswali haya yaliyo shiba
 
Wasafiri endeleeni kushusha nondo ili sie ambao hatujawahi kuvuka mipaka tupate kujifunza kutoka kwenu
 
Acha wivu we dogo. Topiki yako imefunikwa unaleta ligi. Umenikera sana. Nitaelezea kitu baadae kuhusu hii tabia kwenye mtazamo wa saikolojia
 
Hii mentality unatoa wapi boss? Hakuna anaekimbia utajiri kwao
ni kama huwajui/ulifanya kusikia tu kijiweni, pamoja na ushenzi unaousemea lakini bado ni wamoja

Umoja wao uko kwenye ukabila tu..
Wakikutana nje ya nigeria hawachanganyiki kikabila kabisaaa
 

Umoja wa kikabila na hao ma Igbo ndio wahangaikaji sana wa biashara za ki mafia na haramu zote
 
Ah ndugu yetu mtoa stori

Tunakuomba basi umalizie au kama humaliziii useme watu tujue tunapotelea wapi



Hii stori ingeanzishwa uzi wa entertainment kule..😤😤 watu kule hawanaga mbwembwe ....huku hoja mchanganyiko huku sijui kama ataendelea tena
 
Halafu kuna watu wanatetea huu upumbavu... mtu kama umeamua kuleta story yako andika pembeni kwenye word document kisha ipandishe huku JF ndani ya dakika chache tu umemaliza halafu kaendelee na shughuli zako.

Akirudi hapo utasikia oooh nilikua busy kisha anaweka kaparagraph kamoja then anapotea tena. Mara nyingi hii inatokea pale uzi unapopendwa sababu mwanzoni wanakua na spidi kweli ya kuweka episodes hiki kitabia kishashamiri sana.
 
Dereva anakuwa kati ya hzo ntu nne,utamu zaidi inabid mmiliki wa chombo asiendeshe gari awe ametulia na chombo chake wanachombezana tu safar nzima
Heeee kwaiyo wenzako wanakula raha kwa nyuma wewe unapiga tu gia huku dem wako yuko alone anakuwa mpweke
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]falaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…