Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Akapige knock out ile stori yake ili aimalizie basi.He is hopeless populist!Konda msafi kapiga knock out moja ya hatari Keagan Paula chali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akapige knock out ile stori yake ili aimalizie basi.He is hopeless populist!Konda msafi kapiga knock out moja ya hatari Keagan Paula chali!
Si umeona mkuu jamaa yetu alivyopoteana? Mambo mengi alikuwa anatudanganya!Akapige knock out ile stori yake ili aimalizie basi.He is hopeless populist!
Mmmmmmh kwa maswali haya na hoja hizi nilizo zisoma hapa aah sizani kama mleta story ata endelea [emoji38][emoji38]ila acha tusubiri huenda akarudi kujibu maswali haya yaliyo shibaMkuu mie unafiki huwa siuwezi, wewe unge-clear tu doubts zetu then ukaendelea kuleta stori. Haya mambo ya watu kuogopa kuuliza maswali ndio sababu hata nchi yetu imefikia hapa ilipo. Watanzania tulio wengi hatujiamini ndio maana viongozi wetu wanatuendesha wanavyotaka, yaani tuna taifa la ndio mzee hata kama kunahitajika maelezo. Kitu kama hakijakaa sawa wewe kitolee ufafanuzi. Kuna vitu hatuwezi kukubishia kwa sababu kweli kila mtu ana experience yake ila mkuu kuna vitu very technical huwezi kusema kila mtu ana experience yake pia, kuna baadhi vitu lazima viwe common kwa kila mtu. Mfano ni hili la kuoverstay haliwezi kumalizwa kwa rushwa ya rand 300 na likaisha completely kwa sababu ni issue ya usalama wa nchi na system iko linked nchi nzima kuanzia makao makuu ya immigration hadi idara zote zinazohusika na maswala ya uhamiaji. So wakiscan tu passport yako hapo boarder au sehemu yoyote inayohusika na mfumo wa passport control taarifa zako zinaonekana hadi makao makuu ya immigration kuwa kuna mtu kaoverstay anahitajika kukamatwa au kulipa fine whatever the case may be. Sasa huyo immigration officer atakusaidiaje hapo? Hiyo fine atakulipia? maana hiyo fine ni zaidi ya rand 4,000. Na hiyo fine inakuwa registered kwenye system mpaka uilipe ndio iwe cleared la sivyo unakuwa black listed kukanyaga nchini kwao for the next five years. Kwa hiyo hoja kama hii unatakiwa uitolee maelezo ili twende sawa. Kuna watu humu wanafurahia tu stori na vitu kama hivi wanavioverlook kwa sababu either hawavijui kama vipo au wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Halafu hata issue ya kupewa hifadhi na kanisa na yenyewe kuna utata kidogo kama hutajali pia itolee maelezo. South africa inajulikana kwa ujambazi na mauaji hivyo kwa mtazamo wangu sio rahisi viongozi wa dini wakupe hifadhi bila kujiridhisha kama wewe ni mtu salama au la. As a reasonable person nilikuwa nategemea wangekuhoji kwa kina kuhusu uhalali wako wa kuwepo nchini kabla ya kukupa hifadhi, lazima wangekuulizia documents zako kama upo nchini kihalali. Kumbuka hilo ni kanisa na linatakiwa kuheshimu sheria za nchi, hivyo hawawezi kurisk kumhifadhi mtu ambaye anavunja sheria maana ungekamatwa wangeonekana wanahifadhi wahalifu hivyo ingepelekea kanisa kuingia mgogoro na mamlaka za kiserikali na ingepelekea hatari ya kufutiwa usajili wa kanisa lao, mind you Mindrands ni makazi ya watu wenye hela kwa hiyo ni watu wenye uelewa mpana. Samahani wasomaji kama nawaharibia stori yenu ila nimeamua kutokuwa mnafiki kwa kuuliza haya maswali critical.
Acha wivu we dogo. Topiki yako imefunikwa unaleta ligi. Umenikera sana. Nitaelezea kitu baadae kuhusu hii tabia kwenye mtazamo wa saikolojiaMkuu mie unafiki huwa siuwezi, wewe unge-clear tu doubts zetu then ukaendelea kuleta stori. Haya mambo ya watu kuogopa kuuliza maswali ndio sababu hata nchi yetu imefikia hapa ilipo. Watanzania tulio wengi hatujiamini ndio maana viongozi wetu wanatuendesha wanavyotaka, yaani tuna taifa la ndio mzee hata kama kunahitajika maelezo. Kitu kama hakijakaa sawa wewe kitolee ufafanuzi. Kuna vitu hatuwezi kukubishia kwa sababu kweli kila mtu ana experience yake ila mkuu kuna vitu very technical huwezi kusema kila mtu ana experience yake pia, kuna baadhi vitu lazima viwe common kwa kila mtu. Mfano ni hili la kuoverstay haliwezi kumalizwa kwa rushwa ya rand 300 na likaisha completely kwa sababu ni issue ya usalama wa nchi na system iko linked nchi nzima kuanzia makao makuu ya immigration hadi idara zote zinazohusika na maswala ya uhamiaji. So wakiscan tu passport yako hapo boarder au sehemu yoyote inayohusika na mfumo wa passport control taarifa zako zinaonekana hadi makao makuu ya immigration kuwa kuna mtu kaoverstay anahitajika kukamatwa au kulipa fine whatever the case may be. Sasa huyo immigration officer atakusaidiaje hapo? Hiyo fine atakulipia? maana hiyo fine ni zaidi ya rand 4,000. Na hiyo fine inakuwa registered kwenye system mpaka uilipe ndio iwe cleared la sivyo unakuwa black listed kukanyaga nchini kwao for the next five years. Kwa hiyo hoja kama hii unatakiwa uitolee maelezo ili twende sawa. Kuna watu humu wanafurahia tu stori na vitu kama hivi wanavioverlook kwa sababu either hawavijui kama vipo au wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Halafu hata issue ya kupewa hifadhi na kanisa na yenyewe kuna utata kidogo kama hutajali pia itolee maelezo. South africa inajulikana kwa ujambazi na mauaji hivyo kwa mtazamo wangu sio rahisi viongozi wa dini wakupe hifadhi bila kujiridhisha kama wewe ni mtu salama au la. As a reasonable person nilikuwa nategemea wangekuhoji kwa kina kuhusu uhalali wako wa kuwepo nchini kabla ya kukupa hifadhi, lazima wangekuulizia documents zako kama upo nchini kihalali. Kumbuka hilo ni kanisa na linatakiwa kuheshimu sheria za nchi, hivyo hawawezi kurisk kumhifadhi mtu ambaye anavunja sheria maana ungekamatwa wangeonekana wanahifadhi wahalifu hivyo ingepelekea kanisa kuingia mgogoro na mamlaka za kiserikali na ingepelekea hatari ya kufutiwa usajili wa kanisa lao, mind you Mindrands ni makazi ya watu wenye hela kwa hiyo ni watu wenye uelewa mpana. Samahani wasomaji kama nawaharibia stori yenu ila nimeamua kutokuwa mnafiki kwa kuuliza haya maswali critical.
Hivi Kuna mtu anaeza kutoka nchi mwake akaja hapo bongo kutafuta maisha?
Upande wa nyanda za juu kusini ndio naona wamalawi wengi sana, vp kusini wapo wengi?Mbona wengi tu[emoji23][emoji23] wa malawi hapa ndio peponi kwao
Wanafanya ishu gani?Mbona wengi tu[emoji23][emoji23] wa malawi hapa ndio peponi kwao
Hii mentality unatoa wapi boss? Hakuna anaekimbia utajiri kwao
ni kama huwajui/ulifanya kusikia tu kijiweni, pamoja na ushenzi unaousemea lakini bado ni wamoja
Nimeishi nao...nimefanya nao kazi ...kuna wanaija walikamatwa mkoa X Wakaswekwa lupango... Waliokuwa kumi na 6 ...mshkaji wangu (mnaija mwenzao) yeye yupo njema kifedha ...katika hai kumi na 6 sita pekee ndo aliokuwa anawafahamu Ila alipambana mpaka wote wakarudishwa makwao...
Kila siku anawapelekea msosi.. asubuhi mchana jioni..
Anaenda mahakamani...
Lastly Igbos wote walijiunga kuhakikisha majamaa wanarudishw kwao.
Wana umoja Sana..
Halafu kuna watu wanatetea huu upumbavu... mtu kama umeamua kuleta story yako andika pembeni kwenye word document kisha ipandishe huku JF ndani ya dakika chache tu umemaliza halafu kaendelee na shughuli zako.Ah ndugu yetu mtoa stori
Tunakuomba basi umalizie au kama humaliziii useme watu tujue tunapotelea wapi
Hii stori ingeanzishwa uzi wa entertainment kule..😤😤 watu kule hawanaga mbwembwe ....huku hoja mchanganyiko huku sijui kama ataendelea tena
Heeee kwaiyo wenzako wanakula raha kwa nyuma wewe unapiga tu gia huku dem wako yuko alone anakuwa mpwekeDereva anakuwa kati ya hzo ntu nne,utamu zaidi inabid mmiliki wa chombo asiendeshe gari awe ametulia na chombo chake wanachombezana tu safar nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waimba kwaya siyo watu wa kuwaamina hapo ndo kashalala mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]falaaaNakumbuka mwaka 2007 nilikua na ndoto za kwenda dzonga ila sikua na mpunga, kuna jamaa yangu alikua amerudi toka lebanon huko alikua deployed kwenye peace keeping alikua amerudi bongo na fedha za kigeni nikaona kupitia huyu mwamba nitapata nauli nitambae zangu ng'ambo.
Nikawa chawa wa mwamba full kumsaidia kusolve harakati za hapa na pale kutokana na uzoefu wangu wa mtaa
Sasa bhana mwamba alikua na binti mmoja wa kitanga ndio alikua anataka amfanye mkewe ili dingi yake ni mnoko kikuda mchumba ndio alituambia kipindi mwamba anampa idea ya kwenda bumbuli kujitambulisha ,mimi kama chawa nisie na maadili nikamshauri mwamba ampe binti ujauzito ndio tuende ili zoezi liwe rahisi mwana apate jiko na mimi niende zangu ng'ambo.
Mwamba akafanikiwa kurutubisha yai binti kitumbo kikaota ikapangwa safari ya kwenda usambaani kuonana na wazee.
Kufika Tanga tukapokelewa fresh na bimkubwa, na mashemeji kumbe kamanda walikua wanamjua wote kasoro mshua boy tu, na bahati mbaya au nzuri hakuwepo siku hio ikabidi mzee apigiwe simu alikua shambani kwake huko anakaaga hata mwezi bila kurudi home. Alitaarifiwa uwepo wetu akaombwa arudi fasta mzee akaomba aongee na muoaji, mshkaji akatoka nje kuongea na mkwewe, mzee akamwambia jamaa anarudi kesho jioni lakini asitukute nyumbani kwake na hataki kabisa kutusikia, mshkaji kwa tabia zake za kijeshi akamkazia mzee na mikwara ya hapa na pale kwamba hatuondoki tutakaa hata mwezi mpaka arudi tuondoke na mke wetu. Mshua akasema kesho jioni anarudi lakini hatotukuta maana tutaondoka bila kuaga kamanda akasema sawa ngoja tuoneshane umwamba.
Ilifika usiku tukapewa room ya wageni kuna bed mbili kila mtu na lake, tukaangusha na mwanangu ,tulienda na begi moja tu , mchumba aliliweka chumbani kwake kwa usalama zaidi maana chumba chetu kilikua nje,
Kufika mishale ya saa nane usiku niliota ndoto kwamba yule mzee kaihamishia mimba kwa mjeshi halafu tuko leba kamanda anajifungua, mimi na manesi tunamwambia mchizi push! push! Jamaa anapiga kelele kumbe mimi nivyoota hivyo napiga kelele kwanguvu na jamaa naye anaota ndoto hiohio na anapiga kelele za uchungu mara tukashtuka wote mshkaji ananiuliza mtoto wangu yuko wapi nikamjibu kua makini usimlalie kuinuka dah! Mwamba alikua kashusha bonge la kimba mazee halafu hawezi kulikataa yaani kafanana nalo copyright alafu mashuka yote kitanda kizima kilikua makimba tu , nikampa mashuka ya kitandani kwangu ajisafishe tutoroke kabla hakuja kucha maana asingeweza kubadili nguo zilikua chumbani na mama kijacho mjeshi akaniambia kukimbia ni mbinu ya kijesh kabisa wao wanaiita ku retreat.
Tulitoka chumbani mule kwa kucraw mpaka kwenye toyota porte yetu huku mchizi akiwa kajifunga shuka rubega tukatokomea
Tukiwa njiani mwamba ndio akakumbuka conversation yake na mkwe wetu kwamba tutaondoka bila kuaga kama PAUL KEAGAN
Tulifaka town hata mawazo ya kumpiga mzinga wa nauli ya kaisha maana analia tu kama kabinti muda wote
Wengi wao hawajawahi, so wanahisi ni rahisi.Muulize yeye ameshawahi kuandika story yoyote hapa jukwaani??