Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi ile stori ya bao 3 za mgeni pale ilipoishiaga ilikuja kuendelea new season
 
Mwenyewe keagan mzee baba anazama jf kusoma coment ,anachora maboya afu anatoka
 
Waleta nyuzi watatulaumu bure, sisi hatuna shida hata kama anatunga ila aseme toka mwanzo
 
Uzi ulikuwa mzuri sana wajuaji mnatuharibia wengine tuna ndoto bado za kutafuta huko ugahibuni, tumejifunza vitu vingi haswa matumizi makubwa ya akili na upambanaji katika njia yoyote.. hii kitu nilishawahi kuwaza huko nyuma wakati niko chuo nilikosa mwanga tu ila kwa hapa nilipofikia naweza kuona wapi naweza kuanzia maisha ya bongo nyoso sana, mkuu ukipata nafasi endeleza hii thread tuendelee kujifunza maana unatutesa kiakili na kihisia tunafuta madini nimeanzia page ya 1300 hadi hapa hakuna muebdelezo nimeumia mno...
 
Kisa cha konda msafi uliweka piae?
 
@Madame B once again,your missed
 
Sema sasa nina picha kabisa, afu sheria za jf zinakataza mambo hayo.
Jukwaa la wakubwa lingekuwa 'on air' ungejifaidia sana....[emoji182][emoji160]
Najua una ushawishi,hebu tumia ushawishi wako uliojaliwa kuwashauri ma CEO wa jf waturudishie lile jukwaa letu pendwa,uhuru wa vyombo vya habar umerudi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]We bwege kweli nilikuwa frustrated hapa umenirudisha kwenye mood nzuri.
 
Jinga kabisa we jamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huy boya alikua anatusimulia bongo movie iko YouTube na ndo imeisha hiv hiv kiboya msisubir muendelezo ye mwenyewe hajui aendelee vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…