Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

@konda msafi nadhani bado hajakumbana na changamato za kwenye Maboda, kwa hiyo hawezi kuelewa hii michezo, ila kikubwa mtu mzuri ni yule anayejipa nafasi ya kujifunza na sio kujifanya unajua kila kitu
Ni kweli mkuu Mimi hiyo njia ya Zambia to south nimepita zaidi ya Mara 200 tena siyo upande mmoja.

Kila mwezi napita hapo,,either nakwenda au narudi.

Najuwa njia yote na matatizo ya njia mzima kwa sisi watanzania.

Zambia kupitia Bulawayo to south.
Zambia via harare to south.

Border Swaziland to south.
Border Lesotho to south
Malawi to Mozambique to south.

Kuna siku nitafunguwa uzi humu,,

siku mbwa wa police alipolikamata begi langu na kuhusushwa na madawa ya kulevya hapo beit bridge( Zimbabwe na south)

So mkuu safari ni experience,, tena sio inchi moja.
 
Umeeleza vzr sana Mkuu, Big up kwa kweli, tutasubiri story yako ili tujifunze zaidi
 
@konda msafi nadhani bado hajakumbana na changamato za kwenye Maboda, kwa hiyo hawezi kuelewa hii michezo, ila kikubwa mtu mzuri ni yule anayejipa nafasi ya kujifunza na sio kujifanya unajua kila kitu
Wewe shusha uzi wako bila kujali kelele za mashabiki.

Baharia mwandende nipo hapa leo.

Upo kwenye mikono salama..
 
Tumeshakuwa waraibu wa UZI huu mkuu wewe tushushie tu sandakalawe atakaye pata amepata hao wanao leta complaining kivyao wanatucheleweshea mtindi boss. Wewe shusha nyundo tu [emoji3061]
 
Wakuu leo naomba kuleta Story yangu ya kweli ya jinsi nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu kule wala mtu wa kunipokea.

Ukweli kuna wakati ilifika nilichoka sana maisha ya hapa nyumbani, ilikuwa Mwaka 2014, nilikuwa napitia changamoto nyingi za maisha hasa katika familia. Ukweli akili ilikuwa imechoka sana ilisababishwa na kutokuwa na ajira muda mrefu.

Hata baadhi ya watu sikuwa napenda kukutana nao sana. Nikajiuliza kwani Maisha ni hapa tu nyumbani? kwani hakuna sehemu nyengine? Nikajisemea labda sikuandikiwa kutoboa hapa nyumbani ngoja nikajaribu bahati yangu sehemu nyengine.

Kabla ya kufanya maamuzi ya kwenda South Africa, Kwanza niliwaza kujaribu bahati yangu Marekani, nina ndugu kama watatu huko. Nikamcheki ndugu yangu mmoja akanitumia Invitation Letter. Nikaanza kupambana pale Ubalozini. Nilifika kwenye Usahili lakini nilikosa VISA.

Mbona uko hewani mkuu na uzi humalizi Nini kimekusibu
 
Nobody would like to read a plagiarized story, one that was once posted here before. I lost interest in his story after learning that plus the key points his missed as pinpointed by Honorable Konda msafi.
Oneni hii mbuzi wadau.
 
Mmenikumbusha watu walivyokuwa wnaakasirika habibu akichelewa au siku zikipita watu watatukanana kwenye uzi utafikiri wanamlipa 😂
 
Umeeleza vzr sana Mkuu, Big up kwa kweli, tutasubiri story yako ili tujifunze zaidi
Mbona ukiulizwa kuhusu kuendelea ama kutoendelea na uzi hujibu mkuu??

Wape taarifa followers wako wajue hii ya kutojibu sio vyema kabisa na uliahidi kuleta uzi kwa wakati!! Ni kipi kimekusibu ndgu yetu??
 
Huyu ni mbwa tu anatuzingua
 
@konda msafi nadhani bado hajakumbana na changamato za kwenye Maboda, kwa hiyo hawezi kuelewa hii michezo, ila kikubwa mtu mzuri ni yule anayejipa nafasi ya kujifunza na sio kujifanya unajua kila kitu
Ungesema mapema story ni ya kutunga

Ona sasa umeabika, uzi zako mbili zinapingana maelezo
 
Au ameanza tena safari ya South Africa? [emoji23][emoji23]
 
Mleta mada usiyetaka kuendelea na uzi wa kwenda South kama upo mlimani city muda huu njoo pm fasta japo nikupe dollar 150 USD chap mm nasafir ijumaa kwenda J'burg...
"Ramadan Kareem"
 
Back
Top Bottom