Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Umeeleza vzr sana Mkuu, Big up kwa kweli, tutasubiri story yako ili tujifunze zaidi
Ila chief nwe mkweli umejua sn kuniumuza mm manake ile naanza uzi wako npo katikati nkaporwa simu na wezi wa boda nkawa nasoma kupitia tv huku nikiwa nimeunga hotspot na simu ya wifu maraaaa paaaaaah umezira nliumia kichizi mkuu manake kiukweli ulikuwa unanpa abc za kusepa hii nchi iliyojaa vituko,ikikupendeza tengeneza hata group la telegram au whatspp umalizie kuepuka wakuda
 
jamaa anajifanya kama haoni anachoulizwa kwanini hamalizii uzi wake ...huu ndio usenge wachane watu bana eh nimeacha kuendelea kwa sbb ya baadhi yenu mnajifanya wajuaji sasa mtu anajifanya haoni malalamiko ya wananchi

hii inatufanya tuanze kuamini maneno ya watu kuwa pengine stori si yake na yeye anailokota somewhere
 
Dah!!nipe connection mammy !!mimi pia nataman kufika ughaibuni huko
 
Kwann tusiupotezee huu uzi?!Labda mshkaji atajishtukia na kuamua kuendelea mwenyew
 
Mkuu kila nilichoandika kwenye huu uzi ni kweli na ndicho kilichonitokea.
Mkuu kwa nini huendelei na uzi?. malalamiko ni mengi sana je huyaoni?.kama unayaona kwa nini usijibu?.kama kunashida kwa nini usiseme?.mkuu ulituvutia sana na uzi wako ko unachokifanya sio kutotutendea haki tu bali unatufanyia unyama.jitafakari sana mkuu..its too bad
 
Mie naku follow kabisa [emoji736]
 
umeandika kwa uchungu!
 
Mkuu umekwama wapi? Au umebanwa na shughuli? Tunaomba utujibu,vilevile ushushe uzi...uzi wako unavutia mno usiku tulikua hatulali tunafuatilia. TAFADHALI usitukatishie uhondo..imagen followers wote hawa
 

Unaandika vibaya sana
Haivutii kabisa kusoma.
Uchafu mtupu
 
Katika uzi na mleta uzi matata niliemkubali ni yule oldboy alieshusha uzi wa Hamida aliutendea na kutuendea haki,ulivyoisha alituambia na aliendelea kujibu hata maswali ya mbele ya kisa chake hata baada ya kuumaliza rasmi
Big up sana kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…