Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Alie lete hii story mungu ambariki sana
 
Wewe ndo fala kuja kuropoka hapa halafu hajakuita .Kama huamini story yake kila kona
acha hasira kimwana! story ya jamaa ni kama season, pale anapoishia unaweza dhani amezingua. ndyo maana nikasubiri muendelezo ili kupata dots zaidi.

"kila kona" ndiyo nini!?
 
Bado tunamsubir.Tunaimani atakuja kuendelea[emoji26]
 
Unataka bwana kwa nguvu?
 
ukipata nafasi tupatie hata kama ni episode moja lkn nacho ni kisa
 
Aysee
 
Kwani huyu Kaka wa story alitekwa? Tuanzishe Uzi wa kumtafuta aje kumalizia hii haikubaliki alichofanya
 
Wapumbavu wachache walivuruga naona wameridhika
Kuna popoma moja eti lilisema limejilipua kuzamia geita...!
 
Tangu Alhamisi nachungulia km kuna jipya ila jamaa naona alikuwa anatuangua mizuka yetu iko vp, huenda ye mwenyewe alisimliwa akaona Asimlie
 
Upo wapi Keagan Paul. Rudi kuendeleza story but jamani
 
Story iko telegram jamani kujiunga 2000 tu uhondo unanoga huko sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…